Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,466
🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣
Alafu kukiwa hamna ushindani kwenye biashara ndiyo mtanufaika na nini kama wananchi?Fastjet walijitapa kama Low-cost carrier ghafla wakabadilisha gia angan. Wacha wafilisike tu
MTATIRO: ATCL NA HASARA YA BILIONI 60ATC hasara bilioni 60!.
Taarifa ya CAG.
Kuna vitu kuna watu tulisema humu, tukanyooshewa vidole vya kukosa uzalendo!. Sasa ukweli umethibitika!.
60 billions kwa mwaka!, it's not a joke!
Duh...!.
Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
Wanabodi, JF ilipoanzishwa was meant to be the home of Great Thinkers. Hivyo katika mabandiko ya ma GT, they discuss the ideas hawajadili watu, hili ni bandiko kuhusu ideas, hivyo naomba sana kusisitiza hapa hatujadili watu na wala tusitajetaje majina yoyote ya watu. Hakuna jina la mtu yoyote...www.jamiiforums.com
P
Si kazi ngumu kwa rais kuua shirika binafsi au hata la serikali, lakini ujinga kufanya hivyo.Wanabodi,
Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani, huwezi tuu kujichotea fedha za umma na kuzitumia kununulia chochote bila kufuata sheria, taratibu na kanuni ikiwemo idhini ya bunge, unless matumizi hayo ni ya dharura, lakini mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli kufufua uchumi wa taifa letu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.
Baada ya kuwasili kwa Bombadier, nikashauri serikali yetu, tutumie political will kuinusuru ATC na ushindani usio sawia.
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums
Fast Jet nao wakapunguza sana nauli zao na kuamua kupeleka ndege zao routes zile zile za ATC kwa bei poa zaidi, kwa vile Fast Jet wanatumia JET, na ATC wanatumia pangaboi, Fast Jet aliendelea kuipiga bao ATC.
Ujio wa Dreamliner umekuja kufunga kazi. Japo siungi mkono kurusha dege kubwa kama dreamliner kwa domestic routes ambazo ni route fupi fupi, sio tuu tunaichosha bure dreamliner yetu, bali pia tunaichakaza kwa paa shuka paa shuka ndani ya muda mfupi, lakini baada ya kuipokea taarifa hii kutoka humu humu jf, African airline Fastjet reveals urgent need for more cash - JamiiForums
kiukweli sasa ndio naungana na Watanzania wengine kumpongeza rais Magufuli kwa ununuzi wa ndege hizi. Pia sasa nalipongeza shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kulirusha hili lidude routes za ndani za Mwanza na Kilimanjaro, kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa Fast Jet, inapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali Fast Jet, itakufa rasmi kwasababu roho ya Fast Jet, ni biashara ya Tanzania.
Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.
Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, na hakunahata safari moja ndege ilijaa, hivyo nikaogopa kama ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya kufa kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.
Japo sio ustaarabu kufurahia matatizo ya mwenzako, kama kifo cha Fast Jet kwa sababu, ni Fastjet ndio walituokoa wakati ATC ilipokufa na PAA wakawa wanatukomoa!. Besides wafanyakazi ni Watanzania wenzetu, na Fast Jet, ilikuwa inafanya biashara halali na kuchangia uchumi wa taifa, hivyo tusiibeze Fastjet au kufuraia kifo chake, lakini tukubali tukatae, mgeni alineemeka wakati mwenyeji akichechemea, sasa mwenyeji kapona, inabidi mgeni arudi kwao.
Tena kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kutoka anakotoka na kuja kujichumia na kujivunia as if Tanzania haina wenyewe, kwa vile Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa, hivyo ATC sasa imeonyesha, kwenye usafiri wa anga, Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet wakifungasha, abiria bado wataendelea kupanda ATCL, hivyo taifa kuendelea kupata mapato, na kwa vile ATC bado inaleta ndege nyingine 4, itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet.
Kuna mwanajf huyu alisema jambo la maana sana hapa, Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani - JamiiForums
Hivyo naamini PAA watajiandaa yasiwakute ya Fastjet.
Hivyo sasa ATC sio tuu itatawala soko, bali sasa ndio itarudisha heshima ya nchi, inarudisha heshima Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago watu, uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi na New York na London.
Poleni sana Fast Jet, Hongera ATCL
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums
Ushauri wa Bure kwa ATC: Anzisheni frequently fliers na fanyeni over booking kwa waiting list. - JamiiForums
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi! - JamiiForums
Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa - JamiiForums
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Update 1
Very objective and constructive contribution
Mungu ibariki jfWajue tu hayo mashirika binafsi hayabebwi na kodi zetu.
Huko kimataifa hali ni tofauti kabisa na Fastjet walikuwa wana-operate katika nchi kadhaa za Afrika lakini biashara imekuwa ngumu hivyo na sisi tujiandae tunapokusudia kuruka kimataifa.
Yaani route za ndani sijui kama zitaweza kuibeba ATCL iwapo zitakuwa na unafuu ili hali kimataifa tutakuwa tunakabiliwa na ushindani.
Hata route za humu ndani ambapo ATCL iko yenyewe, mfano Dar to Dodoma; ndege bado haijai na hiyo menu yao huko ndani inaashiria kitu fulani.
Pia ni lazima tujiulize je, nauli za hizi ndege zina uhalisi na hali halisi ya kibiashara mfano nauli za Dreamliner?
Binafsi hili halinishangazi kwani nilishaliona tangu siku nyingi na nililisema kupitia huu uzi:
Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani - JamiiForums
Mkuu Mtatiro we jilie tu hela za UDC kakaMTATIRO: ATCL NA HASARA YA BILIONI 60
Ni muhimu sana tuwe tunafuatilia taarifa, wakati ATCL yetu (shirika linalofufuliwa) likitajwa kupata hasara ya shilingi Bilioni 60 kwa mwaka mmoja, na baadhi ya watu kuifanya kuwa ajenda kubwa na jambo la kushangaza sana, nataka mfuatilie pia hasara za baadhi ya mashirika makongwe na makubwa zaidi barani Afrika.PubLinki - Apps on Google Play
Mtandao wa Kijamii unaounganisha UMMA na AJIRA, TAARIFA MUHIMU, ELIMU & BIASHARAkampeni.page.link
Mathalani, Shirika la Ndege la Kenya (Kenya Airways) limepata hasara ya zaidi ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 700 (mara 11 ya hasara ya ATCL) katika kipindi hicho hicho ambacho ATCL imepata hasara ya tzs Bilioni 60.
Na shirika la ndege kongwe zaidi Afrika, Ethiopian Airlines, limepata hasara ya zaidi ya Shilingi za Kitanzania Tzs Trilioni 1.1 (Bilioni 1,100) ambayo ni hasara kubwa mara 18.3 zaidi kuliko ATCL.
Sote hatufurahii hasara hata kama sisi tuna hasara ya Bilioni 60, lakini kwa sababu mbili tu za sasa... uchanga wa ATCL na dunia kuzongwa na KORONA zinaweza kuifanya ATCL ijikongoje, wakati mashirika makubwa kama KE Airlines na ETH Airlines yakizongwa pia na korona.
Pia kwa mwaka jana peke yake, mashirika makubwa zaidi ya ndege duniani, kama – Delta Air Lines, American Airlines, Lufthansa Group, United Airlines, Air France-KLM, na IAG yamerekodi hasara kubwa kabisa kihistoria ya zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 110 ambayo ni zaidi ya shilingi trilioni 2,500 za Tanzania.
Mwisho wa siku na katikati ya changamoto hizi, tunakubaliana kuwa ATCL inahitaji mikakati na mbinu za hali ya juu kibiashara ili itoke hapo ilipo, ikiwemo kuacha kabisa kufanya kazi kwa mazoea.
Julius Mtatiro,
Wanabodi,
Japo mimi ni miongoni mwa wale tuliopinga ununuzi wa ndege kwa cash money, na serikali yetu kufanya matumizi makubwa kama haya ya manunuzi makubwa kwa kutumia fedha za umma bila idhini ya Bunge, kwa sababu fedha za umma zinaongozwa na sheria, taratibu na kanuni, mtu hata ukiwa nani, huwezi tuu kujichotea fedha za umma na kuzitumia kununulia chochote bila kufuata sheria, taratibu na kanuni ikiwemo idhini ya bunge, unless matumizi hayo ni ya dharura, lakini mimi ni mmoja wa massuporter wakubwa wa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na rais Magufuli kufufua uchumi wa taifa letu, ikiwemo kulifufua Shirika la Ndege la ATCL.
Baada ya kuwasili kwa Bombadier, nikashauri serikali yetu, tutumie political will kuinusuru ATC na ushindani usio sawia.
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums
Fast Jet nao wakapunguza sana nauli zao na kuamua kupeleka ndege zao routes zile zile za ATC kwa bei poa zaidi, kwa vile Fast Jet wanatumia JET, na ATC wanatumia pangaboi, Fast Jet aliendelea kuipiga bao ATC.
Ujio wa Dreamliner umekuja kufunga kazi. Japo siungi mkono kurusha dege kubwa kama dreamliner kwa domestic routes ambazo ni route fupi fupi, sio tuu tunaichosha bure dreamliner yetu, bali pia tunaichakaza kwa paa shuka paa shuka ndani ya muda mfupi, lakini baada ya kuipokea taarifa hii kutoka humu humu jf, African airline Fastjet reveals urgent need for more cash - JamiiForums
kiukweli sasa ndio naungana na Watanzania wengine kumpongeza rais Magufuli kwa ununuzi wa ndege hizi. Pia sasa nalipongeza shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kulirusha hili lidude routes za ndani za Mwanza na Kilimanjaro, kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa Fast Jet, inapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali Fast Jet, itakufa rasmi kwasababu roho ya Fast Jet, ni biashara ya Tanzania.
Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet, ni soon atakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu, atabaki Precision, hivyo kama anataka usalama na kuendelea ku survive, asarender routes za Mwanza na Kilimanjaro kwa ATCL, yeye aende routes nyingine za mikoa mingine ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea etc.
Kufa kufaana, hivyo taarifa za Fast Jet kupumulia mashine ni habari njema kwa Watanzania wazalendo na ATC yetu, kwa sababu nimeisha safiri na Dreamliner safari 8, na hakunahata safari moja ndege ilijaa, hivyo nikaogopa kama ni hii, then nikajisemea kimoyo moyo kuwa hii Dreamliner inaoparate kwa hasara, lakini kutokana na zile mbwembwe za mapokezi ya ndege hii, no one can dare say that!, hivyo hasara hiyo itabebwa kimya kimya kufa kizungu na tai shingoni, hivyo kifo cha Fast Jet ni neema kwa ATC ambapo sasa dreamliner yetu itajaa.
Japo sio ustaarabu kufurahia matatizo ya mwenzako, kama kifo cha Fast Jet kwa sababu, ni Fastjet ndio walituokoa wakati ATC ilipokufa na PAA wakawa wanatukomoa!. Besides wafanyakazi ni Watanzania wenzetu, na Fast Jet, ilikuwa inafanya biashara halali na kuchangia uchumi wa taifa, hivyo tusiibeze Fastjet au kufuraia kifo chake, lakini tukubali tukatae, mgeni alineemeka wakati mwenyeji akichechemea, sasa mwenyeji kapona, inabidi mgeni arudi kwao.
Tena kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kutoka anakotoka na kuja kujichumia na kujivunia as if Tanzania haina wenyewe, kwa vile Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa, hivyo ATC sasa imeonyesha, kwenye usafiri wa anga, Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet wakifungasha, abiria bado wataendelea kupanda ATCL, hivyo taifa kuendelea kupata mapato, na kwa vile ATC bado inaleta ndege nyingine 4, itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet.
Kuna mwanajf huyu alisema jambo la maana sana hapa, Hakuna abiria wa kushindanisha kwa "afya" mashirika matatu ya ndege kwa safari za ndani - JamiiForums
Hivyo naamini PAA watajiandaa yasiwakute ya Fastjet.
Hivyo sasa ATC sio tuu itatawala soko, bali sasa ndio itarudisha heshima ya nchi, inarudisha heshima Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago watu, uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi na New York na London.
Poleni sana Fast Jet, Hongera ATCL
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums
Ushauri wa Bure kwa ATC: Anzisheni frequently fliers na fanyeni over booking kwa waiting list. - JamiiForums
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi! - JamiiForums
Tupunguze "kuisimanga" ATCL, haijengi zaidi ya kukatisha tamaa - JamiiForums
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Update 1
Very objective and constructive contribution
Mwambie mama Samia,kibaraka wewe.MTATIRO: ATCL NA HASARA YA BILIONI 60

hapo ukute mtoto wa kiume ndo unajiita pilipili mbuzi...unawashwa sio??Mwambie mama Samia,kibaraka wewe
usingekaza shingo na uanaharakati uchwara ukute nawe ungekula URCMkuu Mtatiro we jilie tu hela za UDC kaka
What now?Wanabodi,

Mtatiro hayo mashirika uliyoyataja hapa yote yana ndege nyingi na yanafanya safari nyingi za kwenda huko duniani kuliko sisi. So ni lazma yawe na hasara kubwa kutuzidi. Ukifanya uwiano wa sisi na wao sisi tuna hasara kubwa, manake ni kwamba tungejua na ndege nyingi na safari nyingi hasara yetu ingekua kubwa kushinda wao.MTATIRO: ATCL NA HASARA YA BILIONI 60
Ni muhimu sana tuwe tunafuatilia taarifa, wakati ATCL yetu (shirika linalofufuliwa) likitajwa kupata hasara ya shilingi Bilioni 60 kwa mwaka mmoja, na baadhi ya watu kuifanya kuwa ajenda kubwa na jambo la kushangaza sana, nataka mfuatilie pia hasara za baadhi ya mashirika makongwe na makubwa zaidi barani Afrika.PubLinki - Apps on Google Play
Mtandao wa Kijamii unaounganisha UMMA na AJIRA, TAARIFA MUHIMU, ELIMU & BIASHARAkampeni.page.link
Mathalani, Shirika la Ndege la Kenya (Kenya Airways) limepata hasara ya zaidi ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 700 (mara 11 ya hasara ya ATCL) katika kipindi hicho hicho ambacho ATCL imepata hasara ya tzs Bilioni 60.
Na shirika la ndege kongwe zaidi Afrika, Ethiopian Airlines, limepata hasara ya zaidi ya Shilingi za Kitanzania Tzs Trilioni 1.1 (Bilioni 1,100) ambayo ni hasara kubwa mara 18.3 zaidi kuliko ATCL.
Sote hatufurahii hasara hata kama sisi tuna hasara ya Bilioni 60, lakini kwa sababu mbili tu za sasa... uchanga wa ATCL na dunia kuzongwa na KORONA zinaweza kuifanya ATCL ijikongoje, wakati mashirika makubwa kama KE Airlines na ETH Airlines yakizongwa pia na korona.
Pia kwa mwaka jana peke yake, mashirika makubwa zaidi ya ndege duniani, kama – Delta Air Lines, American Airlines, Lufthansa Group, United Airlines, Air France-KLM, na IAG yamerekodi hasara kubwa kabisa kihistoria ya zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 110 ambayo ni zaidi ya shilingi trilioni 2,500 za Tanzania.
Mwisho wa siku na katikati ya changamoto hizi, tunakubaliana kuwa ATCL inahitaji mikakati na mbinu za hali ya juu kibiashara ili itoke hapo ilipo, ikiwemo kuacha kabisa kufanya kazi kwa mazoea.
Julius Mtatiro,
Ndugu ukilinganisha basi ulinganishe kweli. Air Tanzania ni shirika dogo sana, hivyo hasara ni kubwa. Ukiangalia Kenya Air, wana ndege 39 wakihudumia kimataifa. Ukipenda kulinganisha, linganisha kilomita zinazohudumiwa, au mapato yote kulingana na hasara.MTATIRO: ATCL NA HASARA YA BILIONI 60
Ni muhimu sana tuwe tunafuatilia taarifa, wakati ATCL yetu (shirika linalofufuliwa) likitajwa kupata hasara ya shilingi Bilioni 60 kwa mwaka mmoja, na baadhi ya watu kuifanya kuwa ajenda kubwa na jambo la kushangaza sana, nataka mfuatilie pia hasara za baadhi ya mashirika makongwe na makubwa zaidi barani Afrika.PubLinki - Apps on Google Play
Mtandao wa Kijamii unaounganisha UMMA na AJIRA, TAARIFA MUHIMU, ELIMU & BIASHARAkampeni.page.link
Mathalani, Shirika la Ndege la Kenya (Kenya Airways) limepata hasara ya zaidi ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 700 (mara 11 ya hasara ya ATCL) katika kipindi hicho hicho ambacho ATCL imepata hasara ya tzs Bilioni 60.
Na shirika la ndege kongwe zaidi Afrika, Ethiopian Airlines, limepata hasara ya zaidi ya Shilingi za Kitanzania Tzs Trilioni 1.1 (Bilioni 1,100) ambayo ni hasara kubwa mara 18.3 zaidi kuliko ATCL.
Sote hatufurahii hasara hata kama sisi tuna hasara ya Bilioni 60, lakini kwa sababu mbili tu za sasa... uchanga wa ATCL na dunia kuzongwa na KORONA zinaweza kuifanya ATCL ijikongoje, wakati mashirika makubwa kama KE Airlines na ETH Airlines yakizongwa pia na korona.
Pia kwa mwaka jana peke yake, mashirika makubwa zaidi ya ndege duniani, kama – Delta Air Lines, American Airlines, Lufthansa Group, United Airlines, Air France-KLM, na IAG yamerekodi hasara kubwa kabisa kihistoria ya zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 110 ambayo ni zaidi ya shilingi trilioni 2,500 za Tanzania.
Mwisho wa siku na katikati ya changamoto hizi, tunakubaliana kuwa ATCL inahitaji mikakati na mbinu za hali ya juu kibiashara ili itoke hapo ilipo, ikiwemo kuacha kabisa kufanya kazi kwa mazoea.
Julius Mtatiro,
Mtatiro kaanza kuwa Spin Doctor tokea lini?kupata hasara ya shilingi Bilioni 60 kwa mwaka mmoja,