Mimi wala sina haja ya kusubiri wantangaze...
Mtu ninayemtambua kuwa ni president wangu ni Dr. wa kweli. mkwere na ile chekacheka ni aibu eti jamani basi tu.. huwezi kumwita president..! Ni aibu!
Jamaa hasomi kitabu chochote, hana falsafa yeyote, anacheka tu mwenyewe...,
watoto wake wala mke wahamsaidii, mpaka unachoka!!
Nikwa msingi huu siwezi hata kwa unafiki kumwit amheshimiwa rais!!
mnisamehe!!