Atakua mke wa nani ? Angalizo ichangiwe na Great Thinkers Only.

Umekuja na mkwara utafikiri ni mada inayoumiza kichwa....eti Great Thinkers tu ndio wachangie :lol: :lol:

Mkubwa hunishangazi kwani "KUBEZA" wabezaji kama wewe wako katika utajo wa headin' hivyo haunirushi handas kwani mi ni miongoni mwa waaminio msemo wa "kila masika na Mbu wake"
 
Mukubwa ! Mkuu wa kitengo cha "kuwa-bandua lebo" pole na kazi na lebo za chuma pia wabandua ? (naruhusiwa kuchakuchua mi kwa nafasi yangu kama thread creater na Kongosho kwa nafasi yake ya ukuu wa kitengo cha lebo )

Hujaeleweka unamaanisha nini
 
Atakuwa mke wa huyo mwanaume aliyemwoa baada ya wewe kutamkwa marehemu, unatakiwa kuanza upya.

Kimsingi kama ni mimi nitaoa mwanamke mwingine kwa sababu kitendo cha mke wangu kuolewa ndani ya miezi 12 tu tangu 'nife' kinanipa ujumbe kwamba ckuwa na umuhimu sana kwake.
 
1: No one to blaim if is true story, ila ikiwa umetunga sichangii
2: Nowadays no one atakaa mateka without serikali
kujua, just to remind you, kuwashika mateka is a biggest pride kwa wanajeshi wa serikali husika, so huwatangaza, publicly kwa serikali pinzani, na watademand a lot, why? simple, bcoz they will get most infos of war tacs ya mpinzani wako.

Umeona hee! Mwenyewe siyo Great thinker afu anawang'ang'ania magreat thinker
 
Sikuabliani sana na hili. Huwezi kutokea kutoka kwa wafu baada ya miaka 10 na kuanza kutaka kumchukua mwanao ambae ni teenager, kumbuka umri mgumu huu kama 80+ yrs! muhimu ni kutengeneza bond na kuacha maji yashike mkondo wake however hard that is.
Utaratibu wa kumchukua mwanangu ni muhimu kuliko vyote! (in case kama ningekuwa mwanaume)
 
Kwani eda ni miaka mingapi? Wanaume banaa! Nkuki kwa nguruwe eh? Kuna prof wa UDSM, mkewe alifariki akakaa msibani one week, the 2nd weekend mwanamke wake kahamia hapo kwake. Hata mashuka na pillows analalia alizonunua mwenzie. Na ilikuwa poa tu, walevi wenzie wanaunganisha shemeji shemeji!
Kimsingi kama ni mimi nitaoa mwanamke mwingine kwa sababu kitendo cha mke wangu kuolewa ndani ya miezi 12 tu tangu 'nife' kinanipa ujumbe kwamba ckuwa na umuhimu sana kwake.
 
Hapo ndo patamu. na wanawake tuwe na msimamo wa kutulia na kuangalia watoto badala ya kuwahi ndoa mpya.
 
Mtoa mada inaonesha ni Mpenzi wa Movie Sana...

Nilishaona Movie kama Hii Story but haikuwa Vita ni Jamaa alisafiri na ndege ilianguka baharini ikatafutwa bila mafanikio miaka zaidi ya saba alikwama kwenye Kisiwa peke yake.

Alipoamua potelea mbali na kutengeneza ki ngarawa akasogea karibu na njia za Meli ndipo alipoonwa na kuja fanikiwa kufika mji wake

tatizo alipofika home kwake akakuta mkewe kesha olewa ilibidi aanza kutongoza upya mwanamke aligoma kata kata jamaa baada ya kukata tamaa akawa anaondoka huku mvua kubwa ikinyesha mkewe wa zamani akimchungulia dirishani basi imani ikamshinda mwanamama akatoka na kumkimbilia mume wake wa zamani..
movie Ikaisha isije kuwa mtoa mada katizama movie tu...

Hata Ray wa Bongo Movie ameshaingiza hii pale Ray alipotea baharini mkewe nusura aolewa na tena na Ndugu yake aliyekuwa hafahamiani nae
 
kisheria,................ ndoa mpya ya mkeo inakuwa nul and void ............. na unenforceable ......................toka siku ilipothibitika kuwa u-hai................ hii ni kwa sababu kufungwa kwa ndoa hiyo kulitokana na taarifa zilizoaminika kuwa sahihi wakati ule na zilizothibitika baadaye kuwa si sahihi wala za kweli................. kwa maneno mengine, sheria itaichukulia ndoa ile kuwa ilikuwa voidable tangu kufungwa kwake na kuendelea kwake kutategemea action ya upande wako na/au upande wa mkeo............... yaani kama yoyote kati yako na mkeo hatakuwa radhi kuishi na mwenzie tena .................. basi talaka itatolewa................... na ndiyo itakayofungua milango ya mkeo kuolewa/kuoa tena.................... kama wote mtakuwa radhi kuishi pamoja tena, .........................hakutakuwa na haja ya talaka na mnaweza kushikana mikono na kuondoka kuelekea nyumbani kwenu siku hiyohiyo wakati taratibu nyingine za kisheria zinzohusu nyaraka nyingine za awali zilizokwishakutolewa kwa shauri lenu, zikiendelea.........................

hivyo ndoa hiyo itatenguliwa kama shauri litafika mahakamani............. na baadaye kutatolewa fursa ya kuivunja rasmi kisheria ikiwa hamtaki kuendelea nayo...................... na hapo ndipo mkeo anaweza kufunga ndoa halali kisheria................ zingatia hapo kuwa "ndoa halali na si ndoa nyingine' manake ila ya kwanza haikuwa "ndoa" kisheria....................

kuhusu watoto.................... nadjhani hilo halina hilo halina utata..................., otherwise uwe kilaza wa kutupwa!!.............
 
Akili kichwani ! Kwanza nikupe SHKAMOO !. Shkamoo hii ni maalumu hata kama nimekuzidi age.
Aidha naichukulia shkamoo kama trophy iliyotukuka kwa kujibu ecxellent vile inavyotakiwa kesheria. Umenigongea msumari wa mwisho jenezani. Kwa sababu hapa mkekani tuko vichwa vingi naimani kuna watakaopinga jibu hili, thread iko wazi comments na zije tu. Kama jina lako lilivyo umepiga kwenye Bull.
 
according to records the guy z dead na ndoa ya pili ndo halali....otherwise huyo wife ndo afanye maamuzi anayona yanamfaa kwa wakati huo ila the guy must b psychological n mentally disturbed + uchumi mbovu ,kwahiyo hapo awaache tu wote wife na mtoto yy ajipange upya....km ni mm hapo ni tungi tu mwanzo mwisho.:hat:
 
Kwanza hawawezi kutangaza umekufa na
Hawana uhakika .. mwanajeshi anaekufa
Vitani anatafutwa mpaka wajue mwisho
Ether umekufa kweli ama etekwa.. soma story GALLIPOLI .. na hiyo ilikuwa WW2..
 
Naungana mkono na wale waliosema kwamba mkeo alikuwa na kila sabau ya kuolewa tena kwani taarifa aliyopokea ya kufa kwako ilikuwa OFFICIAL no doubt, wewe fanya taratibu uanze maisha mapya natumai utapata kifuta jasho na mkono wa pole toka serikalini kwali ulikwenda kutetea Taifa.
Ni kisa cha kutunga ila nimekipenda.
 
Back
Top Bottom