Atakipata ulichokipata?

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,029
1,191
Elimu bora pekee ndio itamkomboa mtoto huyu toka hapa alipo.
 
Attachments

  • Mtoto anauza karanga.jpg
    Mtoto anauza karanga.jpg
    45 KB · Views: 399
Naamini mazingira ndo yamemlazimisha afanye hivyo.
Hata hivyo kujibu swali lako la msingi..mimi naamini ndio anaweza kukipata anachokitafuta.
waweza iona biashara ndogo sana lakini kwa udogo huo kama itasimamiwa vizuri anaweza kukipata kicho anachokitafuta.
Na pengine baada ya kufikia malengo anaweza kuitafuta elimu sasa.
Na huwezi jua pengine yupo tayari katika mfumo wa elimu ila anachokifanya ni kutanua wigo wa kujiongezea kipato.
Inaweza kuwa ni his part time job.
 
Ndugu inaonekana huzijui vyema sheria zinazomlinda mtoto.
 
Sheria zipo na nazijua..kama amelazimishwa kufanya hiyo kazi hapo kweli sheria inabidi ichukue mkondo wake!
Lakini kama ameamua mwenyewe kwa muda wake wa ziada kujiongezea kipato shida iko wapi sasa!!
Yani ku-multiply his cents at his age ni crime?
 
Kiufupi hapo mtoto ni kama analazimishwa kwasababu kipato anachoingiza kinaenda kuendesha familia.
Je ni haki kwa mtoto kutumikishwa ili ipatikane pesa ya kuendesha familia?
 
Naamini mazingira ndo yamemlazimisha afanye hivyo.
Hata hivyo kujibu swali lako la msingi..mimi naamini ndio anaweza kukipata anachokitafuta.
waweza iona biashara ndogo sana lakini kwa udogo huo kama itasimamiwa vizuri anaweza kukipata kicho anachokitafuta.
Na pengine baada ya kufikia malengo anaweza kuitafuta elimu sasa.
Na huwezi jua pengine yupo tayari katika mfumo wa elimu ila anachokifanya ni kutanua wigo wa kujiongezea kipato.
Inaweza kuwa ni his part time job.

Waziri mkuu mpya wa India MODI, alikuwa muuza chai stesheni enzi hizo!!!
 
Kiufupi hapo mtoto ni kama analazimishwa kwasababu kipato anachoingiza kinaenda kuendesha familia.
Je ni haki kwa mtoto kutumikishwa ili ipatikane pesa ya kuendesha familia?

Pengine tuna agenda moja ila wewe umejikita kwenye "the negative side of it" na mimi nimejikita kwenye "positive side of it".
 
mtoto anatakiwa kupata elimu kwanza. na si mengineyo yasiyokuwa na msingi.
 
kuna mambo mengi sana yanachangia watoto wanaotakiwa wawe shuleni,wajihusishe na biashara au kazi ambazo hawatakiwe wafanye,mfano serikali kutangaza kufuta ada za shule ngazi ya msingi lakini shuleni huko kuna mrundikano wa michango na huko sekondari usiseme.
Mtoto kufiwa na wazazi wote au kuuguliwa kama siokutelekezwa na walezi wao,hivyo kuingia katika utafutaji ili kukidhi mahitaji ya nyumbani.
Inauma sana sijui haki hizi za watoto kwanini hazitekelezwi
 
kuna mmoja aliwahi kunikuta bar anauza karanga na sigara na mtaji sio wake, nilimuuliza mtaji kiasi gani akasema elfu 6, nkampa elfu kumi, sijawahi kumuona tena.
 
Back
Top Bottom