Naamini mazingira ndo yamemlazimisha afanye hivyo.
Hata hivyo kujibu swali lako la msingi..mimi naamini ndio anaweza kukipata anachokitafuta.
waweza iona biashara ndogo sana lakini kwa udogo huo kama itasimamiwa vizuri anaweza kukipata kicho anachokitafuta.
Na pengine baada ya kufikia malengo anaweza kuitafuta elimu sasa.
Na huwezi jua pengine yupo tayari katika mfumo wa elimu ila anachokifanya ni kutanua wigo wa kujiongezea kipato.
Inaweza kuwa ni his part time job.
Ndugu inaonekana huzijui vyema sheria zinazomlinda mtoto.
tatizo jamii inaendekeza u-ccm
Sheria zipo na nazijua..kama amelazimishwa kufanya hiyo kazi hapo kweli sheria inabidi ichukue mkondo wake!
Lakini kama ameamua mwenyewe kwa muda wake wa ziada kujiongezea kipato shida iko wapi sasa!!
Yani ku-multiply his cents at his age ni crime?
Naamini mazingira ndo yamemlazimisha afanye hivyo.
Hata hivyo kujibu swali lako la msingi..mimi naamini ndio anaweza kukipata anachokitafuta.
waweza iona biashara ndogo sana lakini kwa udogo huo kama itasimamiwa vizuri anaweza kukipata kicho anachokitafuta.
Na pengine baada ya kufikia malengo anaweza kuitafuta elimu sasa.
Na huwezi jua pengine yupo tayari katika mfumo wa elimu ila anachokifanya ni kutanua wigo wa kujiongezea kipato.
Inaweza kuwa ni his part time job.
Kiufupi hapo mtoto ni kama analazimishwa kwasababu kipato anachoingiza kinaenda kuendesha familia.
Je ni haki kwa mtoto kutumikishwa ili ipatikane pesa ya kuendesha familia?
Waziri mkuu mpya wa India MODI, alikuwa muuza chai stesheni enzi hizo!!!
Moyo unaniuma sana nikiona mtoto anaishi ktk maisha haya.