Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Akili za kimaskini hizi shida sana. Saudi inakupa msaada wa tende, masahafu halafu unawapelekea mamilioni ya fedha kwenye utalii wa kidini (hijja). By the way, saudia sio nchi takatifu, ila inaeneo linaloaminiwa kuwa 'takatifu'.

Vipi lakini watakatifu wamemchinja na kumtengeneza slice kashoggi! Vipi washaacha kufadhili ugaidi!?
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la Saudi Arabia, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya Ulaya (majina kapuni), Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/ afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar).

Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Unapenda vya bure sana na unaona raha kusaidiwa na inaonekana we ni nyonge sana kuwa tu marooo kama vp ulelewa mazima. What af this nigga?!!
 
Fedhuli sn hilo dola ila watu wake wako poa.me ukiniambia wazungu wanaongoza kw kutoa misaada takuelew maana ht usipoambiw unaona jnc wanavosaidia.mwarab roho mby sn ingw s wote
kwa taarifa yako hiyo misaada ya wazungu ni mipesa ya riba ya waarabu wanaowekeza huko katika mabenki ya ulaya
 
saudia haina demokrasia na ina utawala wa kikatili kupindukia kwa wenye mawazo na imani tofauti na wao. watu wanahukumiwa kukatwa kichwa katika karne ya 21. wanawake ni kama vitu sio binadamu. ilishathibitika siku nyingi magaidi wa isis, al qaeda, al shabaab, boko haram et al, wanafadhiliwa na wananchi wa saudia. matajiri wa kisaudi ndio wenye kufadhili ugaidi kote ili mradi ni kwa jina la uislaam wa kisaudia. wamepiga mabomu yemen mwaka mzima eti kusaidia serikali dhidi ya waasi. wakati huohuo wanasaidia waasi syria dhidi ya serikali. nchi inayoongozwa na falsafa kali ya dini na tajiri kupindukia sijui nini nafasi yake ulimwenguni katika karne ya 21 kama sio kuleta vita kila mahali. viongozi wa jamhuri ya kiislaam ya iran wanaonyesha kua na busara na kujali mtengamano na amani ya dunia kuliko hawa walinzi wa maeneo matakatifu ya uislaam.
shia kuffaar watabweka sana hapa msinifokee tafadhali
 
Kwanza hii mada umeileta humu kwa sababu zipi? Na hivi nani kakudanganya kuwa saudia iko sawasawa kivita? Yemen nchi masikini duniani na inamtoa mavi saudia je hao wamarekani? Wewe utakua muislamu ulie danganyika na wala hujitambui. Kwanza saudia wanaamini hakuna waislamu bora duniani kama wao na waislamu wengine wote ni feki.
ulipo otea mti ndio penye shina
 
hamna kitu hapo..
alitandikwa Afghanistan,akatandikwa Iraq,akatandikwa Libya wale waliosema wangesaidia mataifa hayo walijiunga na washambuliaji..
Saudia kinachomlinda ni kule kujihemusha kwa Marekani..
full stop.
MKIENDA KUNA MAENEO YAPITIENI MBALI KISIJE KUWAKUTA CHA KING ABRAHA
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la Saudi Arabia, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya Ulaya (majina kapuni), Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/ afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar).

Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Sio kusaidia nchi masikini, sema kusaidia nchi masikini za kiislam au zenye Waislam

Msaada wao upo kimrengo wa kidini
 
Too late my dear friend! By the way ISIS wanafanya hiyo kazi bila malipo. You and I know Saudi kingdom is on its deathbed.
Na angejua nani ameliunda taifa lile na kwa dhumuni gani na naniameshika remote Wala asingeumiza kichwa. Kama wameboresha uhusiano na wazayuni sijui nini kimebaki
 
Katika top 3 ya nchi zinazoongoza kwa ubaguzi wa rangi hoi nchi ipo. Ni wanafiki sana wanawabagua waafrika na kuwafanya watumwa mpaka leo hii
Hawa jamaa wana roho mbaya sana wanatesa dada zetu wanaoenda kufanya kazi za ndani kama mbwa. U-TAKATIFU u wapi?
Halafu bado watu weusi hususan Wabongo akina Shabani Mwambenja na Marium Mgosi wakienda huko wanahisi wamefika peponi, kumbe wanaonekana Nguruwe

Wabillah Tawfiq,
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la Saudi Arabia, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya Ulaya (majina kapuni), Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/ afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar).

Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Acha upumbavu eti Saudia taifa takatifu wakati ni takataka tu. Anayweza kuwahakikisha usalama Saudia si waislam wala makafiri bali Marekani ambaye siku zote ndiye aliyeiweka nyumba ndogo Saudia. mengine ni longolongo na utumwa wa kujitakia. mmeshindwa kulinda wake zenu mtaweza kulinda saudia?
 
Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
Sasa kama wenzao Iran ya Ayatollah wanapanga kuiporomosha, wewe ni nani hata ukaikingie kifua huko?🙄

Iran unaifahamu vzr? Unao uwezo wa kuikabili au porojo tuu?!!!
 
Saudi Arabia ni nchi ya ki-mafia aisee ukiona jinsi wanavyoua watu wa YEMENI huku wakimpa hifadhi rais aliyeondolewa madarakani utajiuliza kunani? pia nilistuka pale walipo-react baada ya kumnyonga mhubiri wa dini
😂😂😂
Mbona mwanzo uliwaita WATAKATIFU?!!!
 
Back
Top Bottom