Atakayefanikiwa kudukua (hacking) simu za iPhone kulipwa Tsh. Bilioni 2

Tunapoongea sasahivi huckers tayari wapo kazini tusubirie majibu yao soon
 
Wanachokifanya iPhone siyo kutoa zawadi bali wanatafuta jinsi ya kuziboresha zaidi simu zao, so hiyo njia ni sehemu mojawapo kuona mdukuaji ameweza vipi na kutumia njia gani kuzifikia nywila na data za mwenye simu ya iPhone.
 
sijasoma mpaka mwisho
ila huyo mama mwenye nyumba angewadai tu wapangaji wake kuliko kupiga kufuri kwenye vyumba!!!!

itel ni yangu na cha kuandika sipangiwi..
 
Watu wanafananisha fani ya IT na matako ambayo kila mtu anayoMtu akienda veta kasomea kupiga blower sijui ku develop website au kufungua printer na kubadili catridge anajiita mtaalamu wa IT...IT ni kipaji tena binafsi(individual talent) kama mcheza mpira tu..Ila huko Bongo kuna machalii wana degree zao za Computer Science wanakimbiza mnoo sema ndio hivyo akipiga hatua sana umkute yupo Bank..anapambana na ma core banking system (cbs) na nyingi huwa ziko na support ya vendor 24/7...inakua ngumu sana kujifunza vitu vipya zaidi ya kuwa banker na kujua accounts
Tengua kauli sio kila mtu ana matako wengine wanamakalio tu
 
Ina maana kwenye I phone kilicho wakuta makamba Familly na Membe hakiwezi kukukuta mtu unaye tumia I phone .naombeni ufafanuzi wakuu
Kwani mazungumzo ya kina Makamba yalirekodiwa baada ya simu zao kuingiliwa? Inaonekana yale mazungumzo yalirekodiwa yakiwa njiani. Hata uwe na simu kiasi nzuri gani lakini mawasiliano yako ni lazima yapitie kwenye mitambo ya kampuni ya mawasiliano.
 
Wanachokifanya iPhone siyo kutoa zawadi bali wanatafuta jinsi ya kuziboresha zaidi simu zao, so hiyo njia ni sehemu mojawapo kuona mdukuaji ameweza vipi na kutumia njia gani kuzifikia nywila na data za mwenye simu ya iPhone.
Ni kweli na wakigundua umedukua wanakuajiri kabisa kwa pesa ndefu.
 
Kazi kwao wale wazee wa kutoa lock Sim kko, deal hiloooooo

Ova
 
Hiyo lazima kuna dogo alikwa kariakoo pale alifanikiwa kuingilia iphone yao japi si kwa kiwanngo cha juu walikuja wakamtraki kama mtuhumiwa walimdaka wakamchukua wakafunga nae mkataba,dogo anakula maisha US mpaka leo
Acha stori za kahawa. Uyo mtu hakuwa mtz. Alikuwa ni mmarekani na walikuwa wameshampa worning mara nying.
 
Ina maana kwenye I phone kilicho wakuta makamba Familly na Membe hakiwezi kukukuta mtu unaye tumia I phone .naombeni ufafanuzi wakuu
Kinawezekana sana. Huku bongo jamaa wanaenda kwa network carrier wanassikilza maongez yko
 
Ina maana kwenye I phone kilicho wakuta makamba Familly na Membe hakiwezi kukukuta mtu unaye tumia I phone .naombeni ufafanuzi wakuu
Inawezekana vizuri tu..sababu wale simu zao hazijadukuliwa bali ni tcra wanaratibu mazungumzo ya simu zote ndo walikozivujisha sauti/mazungumzo yao. TCRA wenyewe hawadukui simu bali ukipiga simu inakuwa recorded kwenye servers zao
 
hujaelewa au ni unajifanya huelewi? usichoelewa kama kuna iphone za kichina nikimaanisha COPY ni nini?? kuna real iphone ambazo zinakua assembled china na kuna COPY iphone ambazo ni manufactured direct from china..Hapo usichoelewa ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom