MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,604
ukweli unaofanana na uongo.mimi ni moderator (natania)
ukweli unaofanana na uongo.mimi ni moderator (natania)
Kudunguliwa na manati mkuuKudukua manake nini?
Wanajua kwamba wana udhaifu,shida yao kubwa ni kujua huo udhaifu...Sasa acha porojo dukua upate $1mil“If you live like you are in the ‘past’, the ‘future’ will never find you”! apple wasijidanganye kwamba hawana udhaifu
Ni kweli Lakini waliotengeneza mfumo watatimuliwa kazi na kulazimishwa kulipa kampunikivyovyote vile atakae weza mbali na huo mkwanja basi lazima wamchukue maana atakua anawafaaa
Kwa laini ya TTCL lakiniHizo simu za iPhone zinafaa hapa Tanzania
Watu wanafananisha fani ya IT na matako ambayo kila mtu anayoMtu akienda veta kasomea kupiga blower sijui ku develop website au kufungua printer na kubadili catridge anajiita mtaalamu wa IT...IT ni kipaji tena binafsi(individual talent) kama mcheza mpira tu..Ila huko Bongo kuna machalii wana degree zao za Computer Science wanakimbiza mnoo sema ndio hivyo akipiga hatua sana umkute yupo Bank..anapambana na ma core banking system (cbs) na nyingi huwa ziko na support ya vendor 24/7...inakua ngumu sana kujifunza vitu vipya zaidi ya kuwa banker na kujua accountsWazee...wa next, skip na save
RIP Osama Bin Laden“If you live like you are in the ‘past’, the ‘future’ will never find you”! apple wasijidanganye kwamba hawana udhaifu
Ongeza sauti vijana wa kuflash simu pale kkoo hawajakusikia
hahhahaha!mkuu hata ku install drivers wanaweza unawaoneaIT wa Bongo unawaonea Wao wanaweza piga windows chini Tu.
umenena mkuu..Hakika ndivyo ilivyoWatu wanafananisha fani ya IT na matako ambayo kila mtu anayoMtu akienda veta kasomea kupiga blower sijui ku develop website au kufungua printer na kubadili catridge anajiita mtaalamu wa IT...IT ni kipaji tena binafsi(individual talent) kama mcheza mpira tu..Ila huko Bongo kuna machalii wana degree zao za Computer Science wanakimbiza mnoo sema ndio hivyo akipiga hatua sana umkute yupo Bank..anapambana na ma core banking system (cbs) na nyingi huwa ziko na support ya vendor 24/7...inakua ngumu sana kujifunza vitu vipya zaidi ya kuwa banker na kujua accounts
Hayo umesema wewe si wao, dukua wakuone kuwa hiyo future wanayo tayari kabatini..“If you live like you are in the ‘past’, the ‘future’ will never find you”! apple wasijidanganye kwamba hawana udhaifu
bei yake wanaiweza wangapi mkuu? sisi acha tutumie iphone zakutoka CHINA ila sio hizo za mmarekani
[/QUOTkuna tofauti gani kati ya hizo za china na za marekani ninavyojua mimi iphone ni kampuni ya marekani lakini simu zake zinatengenezwa china kama ilivyo kwa bidhaa za jordan ni za mmarekani lakini zinatengenezwa china..!
Kitochi ni ngumu kudukuliwa Mkuu....kudua mawasiliano ya sauti ni rahisi...nahisi iPhone wanaongelea kudukua taarifa za kimawasiliano kama vile kuweka virus na kudukua email...lkn maongezi unadukua tu.Wale wazee wa kile chama tangu uhuru badala ya kutumia iPhone wao wametumia kitochi. Ndo mana kumbe wamedukuliwa kipindi kile wanamteta mkulu.