Atakayefanikiwa kudukua (hacking) simu za iPhone kulipwa Tsh. Bilioni 2

Kuna it huyo hapo kaweza kudukua
FB_IMG_1565634498698.jpeg
 
Kwani haina backdoor ? Udukuzi sio lazima ufanyike within mara nyingi unafanyika kwa uzembe wa mtumiaji na lazima kuwe na balance between matumizi na security.., security ikiwa kali sana inaleta kero kwa mtumiaji
 
Haya Haya humu ndani kuna ma IT konki master sasa mchongo ndo huu hapaaa Wale wakujiita hackers ebu fanyeni mambo msije sema mlikua bize hamkusikia tangazo la ndugu zetu IPHONE.

Apple, wametangaza kuwa watatoa zawadi ya Dola milioni $1 sawa na Tsh Bilioni 2.3 kwa mtu yeyote atakayeweza kudukua simu za iPhone au kompyuta za Mac.

chanzo:
View attachment 1179287
Wale wazee wa kile chama tangu uhuru badala ya kutumia iPhone wao wametumia kitochi. Ndo mana kumbe wamedukuliwa kipindi kile wanamteta mkulu.
 
Ina maana kwenye I phone kilicho wakuta makamba Familly na Membe hakiwezi kukukuta mtu unaye tumia I phone .naombeni ufafanuzi wakuu
 
Ina maana kwenye I phone kilicho wakuta makamba Familly na Membe hakiwezi kukukuta mtu unaye tumia I phone .naombeni ufafanuzi wakuu
hakiwezi na kama utaweza APPLE wamesema watakupa 2 BILLION..fanya kujaribu mkuu na usinisahau ktk ufalme wako wa udukuaji.
 
Haya Haya humu ndani kuna ma IT konki master sasa mchongo ndo huu hapaaa Wale wakujiita hackers ebu fanyeni mambo msije sema mlikua bize hamkusikia tangazo la ndugu zetu IPHONE.

Apple, wametangaza kuwa watatoa zawadi ya Dola milioni $1 sawa na Tsh Bilioni 2.3 kwa mtu yeyote atakayeweza kudukua simu za iPhone au kompyuta za Mac.

chanzo:
View attachment 1179287
soon tu masela wanabeba hiyo pesa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom