Atakayefanikiwa kudukua ‘Hacking’ simu za iPhone’s kulipwa Tsh. Bilioni 2

Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,279
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,279 2,000
Haya Haya humu ndani kuna ma IT konki master sasa mchongo ndo huu hapaaa Wale wakujiita hackers ebu fanyeni mambo msije sema mlikua bize hamkusikia tangazo la ndugu zetu IPHONE.

Apple, wametangaza kuwa watatoa zawadi ya Dola milioni $1 sawa na Tsh Bilioni 2.3 kwa mtu yeyote atakayeweza kudukua simu za iPhone au kompyuta za Mac.

chanzo:
iphone-5c-hack-763778-jpg.1179287
 
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
4,857
Points
2,000
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
4,857 2,000
Wanachokifanya iPhone siyo kutoa zawadi bali wanatafuta jinsi ya kuziboresha zaidi simu zao, so hiyo njia ni sehemu mojawapo kuona mdukuaji ameweza vipi na kutumia njia gani kuzifikia nywila na data za mwenye simu ya iPhone.
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,279
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,279 2,000
Wanachokifanya iPhone siyo kutoa zawadi bali wanatafuta jinsi ya kuziboresha zaidi simu zao, so hiyo njia ni sehemu mojawapo kuona mdukuaji ameweza vipi na kutumia njia gani kuzifikia nywila na data za mwenye simu ya iPhone.
kivyovyote vile atakae weza mbali na huo mkwanja basi lazima wamchukue maana atakua anawafaaa
 
Allan8

Allan8

Member
Joined
Sep 18, 2014
Messages
53
Points
125
Allan8

Allan8

Member
Joined Sep 18, 2014
53 125
“If you live like you are in the ‘past’, the ‘future’ will never find you”! apple wasijidanganye kwamba hawana udhaifu
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,279
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,279 2,000
“If you live like you are in the ‘past’, the ‘future’ will never find you”! apple wasijidanganye kwamba hawana udhaifu
wanajua udhaifu upo ndio mana hhata dau lao wameishia 2B wangeweza kuweka hata 3B,4B nk nk ila wamenusa harufu ya udhaifu wao wakaona wasijiamini sana.
 
Forum statistics

Threads 1,334,021
Members 511,787
Posts 32,461,278
Top