Atakaye taja Mhusika wa Bomu Katoliki Arusha atalipwa kiasi gani???

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
1.Tukio la Mulipuko Bomu Mkutano wa Chadema lina mtaji wa 100m
2.Tukio la Mulipuko Bomu Kanisa la Katoliki Arusha halina Mtaji!!
3.Tukio la Kumuua padri Mushi halina mtaji
4.Tukio la kumupiga risasi Padri Ambrosi halina mtaji
5.Tukio la kuchoma makanisa nchini halina mtaji
6.Tukio la kumchinja Mchungaji Geita halina mtaji
7.Tukio la Kumwagia tindikali Mashehe Zanzibar halina mtaji
8.Aliyemteka Kibanda halina mtaji
9.Tukio la aliyemteka Ulimboka halina mtaji
.
.
.
..
.
.
.Unaweza kuendeleza hapo na baadaye uka ishia na double standard

NB:
Angalia jinsi polisi walivyotumia nguvu zote kumukamata muuaji wa kamanda Barlow
 
Mwema alisema 50 million.
 
We dominik, mbona changa la macho hilo????
Aliyerusha bomu hata Lukuvi anamjua... mbona ni zoezi lilelile lilofanyika Iringa linaendelea, ya kumuua Daudi Mwangosi kwa bomu, hao vijana wake wanaendelea, japo hawajui madhara yake.. wala hawajui litafanikiwa kiasi gani... basi si kosa lao... wanamtumikia kafiri ili wapate ujira wao.. japo hata hili ni kosa kimaadili...
We serikali hii fisadi itoe mio 100 kwa sijui nani... wakati hospitali haina dawa, maji shida sehemu nyingi Nchini, eti serikali ya Kikwete itoe mio 100 kwa atakaye msema aliyelipua bomu arusha??? LOL.
 
1.Tukio la Mulipuko Bomu Mkutano wa Chadema lina mtaji wa 100m
2.Tukio la Mulipuko Bomu Kanisa la Katoliki Arusha halina Mtaji!!
3.Tukio la Kumuua padri Mushi halina mtaji
4.Tukio la kumupiga risasi Padri Ambrosi halina mtaji
5.Tukio la kuchoma makanisa nchini halina mtaji
6.Tukio la kumchinja Mchungaji Geita halina mtaji
7.Tukio la Kumwagia tindikali Mashehe Zanzibar halina mtaji
8.Aliyemteka Kibanda halina mtaji
9.Tukio la aliyemteka Ulimboka halina mtaji
.
.
.
..
.
.
.Unaweza kuendeleza hapo na baadaye uka ishia na double standard

NB:
Angalia jinsi polisi walivyotumia nguvu zote kumukamata muuaji wa kamanda Barlow
Padri Mushi nadhani walisema 10 kama nakumbuka vizuri.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
MBowe kasema ni Askari, apeleke hiyo Tape halafu hizo 100mil wapewe Wafiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom