Atakaye-fisadi uchaguzi huu MUNGU MPUMZISHE KUZIMU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Atakaye-fisadi uchaguzi huu MUNGU MPUMZISHE KUZIMU

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by sylvesterleonce, Oct 31, 2010.

 1. s

  sylvesterleonce Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  EE MUNGU WA HURUMA IINUUE NCHI YETU ULIYOTUPA ILI ITUTUNZE NA TUKIFA TUZIKWE HUMO HATUNA NCHI NYINGINE BASI TUNAKUOMBA UWAFISHE KIFO KIBAYA KWA YEYOTE ATAKAYE FISADI UCHAGUZI HUU aidha KWA KUTANGAZA MSHINDI ALIYE SHINDWA BASi MUNGU UMFISHE HARAKA MKEWE AWE KIZUKA MUMEWE AWE MJANE WATOTO WAKE WAWE YATIMA WOTE WENYE MWILI/ MALAIKA NA MAJINI WAAPE NA KUSEMA AMINA AMINA AMINA!!
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  mweh sala yako kasheshe..lakini mungu awahukumu wote watakaotoa matokeo ya uwongo
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hii sala ni kali kidogo, lakini MAFISADI inawafaa kabisa!
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hii siyo sala, bali ni LAANA. Duh! Usihofu Mungu yuko nasi. Tutashinda waadilifu.
   
 5. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hii ni laana ila nadhani itawakomesha wachakachuaji.

  wanataka kuuza nchi yetu, tuzikwe wapi?? wao hawana shida coz watazikwa US kama Balali. TUWAKATAE!!
   
Loading...