atakaoweza kufanya hivi nitampatia million 5,wana jf changamkieni

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
366695_9024_158403359260_523189260_2799716_2115324_n_jpg9ac06b3d51354aad4fdb6527b55e0ac6.jpeg

atakaoweza kupanda juu ya nguzo na umeme na kukaa kama uyo jamaa apo
 
Hii ni rahisi sana.. Tanesco wakishatangaza hakutakuwa na umeme mtaani kwetu kwa siku nzima... Mbona eassy tu
 
Watu wanafanya kazi kwenye 220kV ikiwa live ambapo waya mmoja tu ukikugusa hata vumbi lako halitaonekana na wanatoka wazima, sembuse hiyo 400V!?
 
kaka mkweli,sijakuchoka ndio mashindano yalivyo,ushawai one kipindi cha fear factor,pesa lazima uitolee jasho
 
Watu wanafanya kazi kwenye 220kV ikiwa live ambapo waya mmoja tu ukikugusa hata vumbi lako halitaonekana na wanatoka wazima, sembuse hiyo 400V!?

unawachanganya wa2, watu kilasiku wanauliza namna ya kutafuta asilimia (%) na wewe unawaongezea maswali ya kuuliza tena.

Andika hivi: "Watu wanafanya kazi kwenye 220000V ikiwa live ambapo waya mmoja tu ukikugusa hata vumbi lako halitaonekana na wanatoka wazima, sembuse hiyo 400V!?". Hapo kila m2 ataelewa kasoro mimi
 
Back
Top Bottom