Atakaekuwa na Habari za Kuandama kwa Mwezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Atakaekuwa na Habari za Kuandama kwa Mwezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Haki, Aug 21, 2009.

 1. H

  Haki JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla ya kuwa na kompyuta, nilikuwa nasikiliza redio kuhusu muandamo wa Mwezi. Mara nyingi nilikuwa nazipata habari za mwezi kwenye saa 8 za usiku. Kwa hiyo yoyote atakaepata habari za kuandama kwa Mwezi atujulishe; ikiwa USA, London, Kenya, Dubai, Mecca, nk.
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hakika Emarate, Syria, Kuwait, Qatar na Oman imetangazwa na mamlaka husika za masuala ya mwezi. KUWA MFUNGO UTAANZA KESHI IJUMAAMOSI INSH'ALLAH
   
 3. O

  Omumura JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa ndugu zangu waislamu wote, nawatakia mfungo mwema wa Ramadhan!
   
 4. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Inshaalah ila Hakikisheni Taarifa zinakuwa Sahihi na Uhakika
  Tusijefungishana Kabla ya Muandamo kheri inshaalah
  Wabilah tawfiq
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Confirmed kwamba mwezi umeandama na TBC wametoa taarifa kutoka kwa Sheikh wa mkoa wa Singida kuhakikisha kwamba mwezi umeandama

  TUNAWATAKIA MFUNGO MWEMA, TUTAJITAHIDI KADRI YA UWEZO KUWAUNGA MKONO NA MSITUCHOKE KWENYE FUTARI NA YALE MAPOCHOPOCHO SIKU YA EID!!
   
 6. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 585
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  ramadhani kariym
   
Loading...