Elections 2010 Ataendelea kuitwa Benson Bana au Bansen Bunner?

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
matokeo ya awali ya Uchaguzi yakiemdelea kuonesha kutofautiana na tafiti za Redet na synovate. Je, taasisi zilizofanya utafiti na kutoa matokea hayo ziendelee kufanya kazi zao hapa Tz? Watendaji wao waliohujumu sayansi ya utafiti je?
 
sipendi hata kusikia uchafu unaoitwa Redet na synovate wachumia matumbo. watakiona cha mtema kuni.
 
Kwa kweli wanatakiwa wanyanganywe Leseni zao kabisa na hata wananchi wanatakiwa wasiwape ushirikiano hata kidogo maana wanawasumbua bure
 
watakuwa kundi moja na mchawi yahaya shame to them awawezi kuisemea mioyo ya watanzania kwani kura siri ya mtu lakini safari hii kiboko
 
Synovate ni kampuni ya wakenya inayoongoza tafiti za kusaidia kampuni za Kenya kuinyonya tz. Viongozi wa Redet ni vilaza wanaofikiri kwa kutumia tumbo badala ya kichwa
 
Is a simple labolatory stove which is used for heating

- George Akerlof anasema there is nothing as bad as being seeing as a lemon. Reputation damage is worse than anything you know. Hawa jamaa wameisha contaminate brand zao labla wabadili majina ndiyo wananchi watawaamini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom