Hata ukinicheat kama sijakufumania kwangu haimake sense sikuachi

Sinaga complication sana na mahusiano yangu, mi nikidate na mtu huwa simfatilii kuanzia kwenye simu zake mpaka movement zake za mtaani,

Mi ninachoangalia kikubwa ni nidhamu na uhakika wa kupewa papuchi,
Kama ananiheshimu na kunipa papuchi bila kunibania kwangu ni fresh tu kwa nini nisumbukie visivyosumbukika,

Mtaani kunaga maneno maneno mengi, mpenzi wako ata wakikuta kasimama na kaka yake lazima yaje maneno kwamba anakuchiti,

Mimi ukinicheat kama sijakufumania sikuachi Ng'oo,
Eti nikute meseji kwa simu yake ile kwa bahati mbaya wanaitana baby, mpenz kwangu hainisumbui wala haimake sense kama sijakufumania mi nachapa papuchi tu kwa kwenda mbele,

Nikikuchoka navuta chombo nyingine kwa ajiri ya kupanua wigo mzuri wa kiwanda cha uchakataji basi.

Fumanizi na dharau ndio sababu zangu kuu za kumuacha msichana /mwanamke ninaedate nae.


Cc Zero
0 IQ kwenye ubora wake, ata mimi huwa siangalii sijui analiwa na nani sijui katoka kuchakatwa na nani? Maadam ananipa papuchi muda ninaotaka huwa sina maneno, napenda kumuheshimu sana demu anayenipa papuchi.
 
0 IQ kwenye ubora wake, ata mimi huwa siangalii sijui analiwa na nani sijui katoka kuchakatwa na nani? Maadam ananipa papuchi muda ninaotaka huwa sina maneno, napenda kumuheshimu sana demu anayenipa papuchi.
Unaangalia angalia nini mkuu
 
Mimi huwa nina urafiki na sehemu ya mwanamke inayoanzia kwenye kiuno adi juu ya magoti, lakini kama demu hanipi mbususu siwezi kukaa naye zaidi ya masaa mawili.
We are the same, tuko sawa kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom