VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Ingawa umri wangu hauko mbali na huyu Mzee, sitaki kuwa kama yeye. Yaani, lugha yake si mchezo.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Bado inadaihii clip ni ya mda mrefu sana...sikujua kama bado "ina kiki" mpaka leo.
huyo mzee ni shida aisee.