At your own risk: Sitaki kuwa kama huyu Mzee

Mungu wangu, mbona huyo mzee hilo neno analitamka kama lilivyo bila hata kulivalisha "ki skin tight" duuuu! bila shaka na mambo ya pwani hayo
 
kye kye kwi kwiii teh... Mzee kanifurahisha sana, halafu yuko sahihi
 
yaani hapo anaamini 100% yupo sahihi...hayo ndo madhara ya bange ukifika umri wa uzee
 
hii clip ni ya mda mrefu sana...sikujua kama bado "ina kiki" mpaka leo.
huyo mzee ni shida aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom