At one point 10% of Kenyas export went to TZ... TBT watch Mwai Kibaki

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
5,534
Points
2,000

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
5,534 2,000
This guy was the real economists, wachana na hawa pretenders wa sikuhizi

Kuna wakati flani pale EAC ilipovunjika na tukafungiana mipaka, Kuna majirani flani wakati huo walikua wakidai Kenya inafaidi sana kwa kuuza bidhaa zake nyingi kwa nchi jirani.... Ikawa inasemekana tukifungiwa mipaka basi uchumi wa Kenya utaanguka.... Mipaka ilifungwa na Kenya ililazimika kutafuta masoko mengine kuuza bidhaa zake na mwishowe Uchumi wa Kenya ukaendelea vilevile.......
 
KENPAULITE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
1,525
Points
2,000

KENPAULITE

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
1,525 2,000
This guy was the real economists, wachana na hawa pretenders wa sikuhizi

Kuna wakati flani pale EAC ilipovunjika na tukafungiana mipaka, Kuna majirani flani wakati huo walikua wakidai Kenya inafaidi sana kwa kuuza bidhaa zake nyingi kwa nchi jirani.... Ikawa inasemekana tukifungiwa mipaka basi uchumi wa Kenya utaanguka.... Mipaka ilifungwa na Kenya ililazimika kutafuta masoko mengine kuuza bidhaa zake na mwishowe Uchumi wa Kenya ukaendelea vilevile.......
The guy in his hey days was a genious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
5,084
Points
2,000

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
5,084 2,000
This guy was the real economists, wachana na hawa pretenders wa sikuhizi

Kuna wakati flani pale EAC ilipovunjika na tukafungiana mipaka, Kuna majirani flani wakati huo walikua wakidai Kenya inafaidi sana kwa kuuza bidhaa zake nyingi kwa nchi jirani.... Ikawa inasemekana tukifungiwa mipaka basi uchumi wa Kenya utaanguka.... Mipaka ilifungwa na Kenya ililazimika kutafuta masoko mengine kuuza bidhaa zake na mwishowe Uchumi wa Kenya ukaendelea vilevile.......
Tafadhali hebu fanya utafiti wako upya. Jee ni nchi gani ilianza kufunga mpaka? Serikali ya TZ ilichofanya ni nayo kufunga mpaka wake. Kitendo hicho ndicho kilichofanya nchi hizi mbili kuheshimiana maana mwanzoni kuna nchi nyingine zilikuwa zinajifanya kuwa muhimu kuliko nyingine.
 
kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Messages
3,460
Points
2,000

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2012
3,460 2,000

:D:D:D Hiyo miaka yote na hiyo nchi bado ndiyo muhimu sana Africa Mashariki na Kati.
 
Umuhimu wake umeanza kupungua
1.kwani miaka ile TZ ilikuwa ina import kenya na hakukuwa export yoyote ile ya maana toka TZ
2. Uchumi wa TZ umekuwa vizuri kiasi kenya imeamua kuwekeza TZ ili iweze kupata soko la EA pamoja
SADC.
3. Utalii, Kenya iliwaacha mbali sana Tanzania lakini hivi sasa mambo yamegeuka na TZ imekuwa na
potential kubwa kwenye tourism kiasi kwamba Kenya nayo imeanza kuwekeza huku.
Kwa ufupi, hivi sasa Kenya inaihitaji TZ kwenye uchumi kuliko wakati wowote ule
4. Kama itakamilika, basi uwezekano wa Kenya ku-dominate kwenye cargo transportation East and Central
Africa utakuwa kwenye mtihani mkubwa.
Zile dharau za akina mzee charles njonjo na mbiyu koinange zilituamsha na waswahili wanasema kuwa,
'ukimwamsha aliye lala mwishowe utalala wewe'
 
Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
5,534
Points
2,000

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
5,534 2,000
Tafadhali hebu fanya utafiti wako upya. Jee ni nchi gani ilianza kufunga mpaka? Serikali ya TZ ilichofanya ni nayo kufunga mpaka wake. Kitendo hicho ndicho kilichofanya nchi hizi mbili kuheshimiana maana mwanzoni kuna nchi nyingine zilikuwa zinajifanya kuwa muhimu kuliko nyingine.
Kenya ilikua ina export bidhaa nyingi sana Kwa nchi za EAC, hakuna vile Kenya ingeanza na kufunga mipaka alafu wanaitisha interview na viombo vya habari kuongelea uchumi
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
5,084
Points
2,000

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
5,084 2,000
Get

Get your records straight. Check with Daily Nations/The Standard archives for verification.
Because Tanzania was dependent to Kenyan Goods, your government wanted to bring us on our knees
I suspect this was to the bidding of the western world who were opposing TZ's efforts in SA liberation and the eastern block influence to EA.
As a result of this, we became more resilient than ever with our siasa ya kujitegemea.
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
5,084
Points
2,000

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
5,084 2,000
This guy was the real economists, wachana na hawa pretenders wa sikuhizi

Kuna wakati flani pale EAC ilipovunjika na tukafungiana mipaka, Kuna majirani flani wakati huo walikua wakidai Kenya inafaidi sana kwa kuuza bidhaa zake nyingi kwa nchi jirani.... Ikawa inasemekana tukifungiwa mipaka basi uchumi wa Kenya utaanguka.... Mipaka ilifungwa na Kenya ililazimika kutafuta masoko mengine kuuza bidhaa zake na mwishowe Uchumi wa Kenya ukaendelea vilevile.......
In actual fact mzee mwai kibaki did fight for EAC but there were stronger forces than him was forced to follow the trail.
 
kennedy0000

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Messages
3,460
Points
2,000

kennedy0000

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2012
3,460 2,000
Umuhimu wake umeanza kupungua
1.kwani miaka ile TZ ilikuwa ina import kenya na hakukuwa export yoyote ile ya maana toka TZ
2. Uchumi wa TZ umekuwa vizuri kiasi kenya imeamua kuwekeza TZ ili iweze kupata soko la EA pamoja
SADC.
3. Utalii, Kenya iliwaacha mbali sana Tanzania lakini hivi sasa mambo yamegeuka na TZ imekuwa na
potential kubwa kwenye tourism kiasi kwamba Kenya nayo imeanza kuwekeza huku.
Kwa ufupi, hivi sasa Kenya inaihitaji TZ kwenye uchumi kuliko wakati wowote ule
4. Kama itakamilika, basi uwezekano wa Kenya ku-dominate kwenye cargo transportation East and Central
Africa utakuwa kwenye mtihani mkubwa.
Zile dharau za akina mzee charles njonjo na mbiyu koinange zilituamsha na waswahili wanasema kuwa,
'ukimwamsha aliye lala mwishowe utalala wewe'
1. Hata kama export kwenda Tanzania zimepungua, exports za Kenya kwenda nje zimeongezeka.
2. Uchumi wa Kenya umekua kwa kasi pia. Na gap ya GDP ya Kenya na Tanzania inazidi kupanuka.
3. Utalii wa Kenya pia umekua. 2018 tulifikisha watalii milioni mbili kwa mara ya kwanza.

Ni kweli kwamba Tanzania imeendelea kutoka hio miaka, lakini Kenya pia imeendelea pakubwa, na ndio maana mpaka leo bado ndio nchi yenye umuhimu sana upande huu Afrika.
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
5,084
Points
2,000

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
5,084 2,000
ni kijana mdo

Inaonyesha kuwa wewe bado ni kijana mdogo na haujafanya utafiti wakutosha.
Pengine nikuulize, Jee nchi ambayo ilikuwa inadominate kwenye utalii kwa zaidi ya 90% Hivi sasa inahangaika ku-retain nafasi yake kutokana na ushindani bado wewe huoni kama tonge inanyang'anywa mdomoni? Ninacho kipenda kuhusu Kenya ni ile philosophy ya 'if you cant fight them join them'. Tanzania ile ambayo ilikuwa 'dumping ground' hivi sasa imebadilika na kama nilivyokueleza hapo awali kuwa ndiyo maana Kenya imeamua kuwekeza Tanzania kutokana na wigo wa soko ambalo lipo.
 
Wakenya huinvest kila mahali wawezapo. Usidhani Tanzania ni special.
Tuko na benki na insurance za Kenya DRC, Rwanda, Somalia, Uganda, South Sudan nk.
Hivyo ndivyo wakenya wako. Cha muhimu ni kwamba ushuru unalipwa na 'parent company' hapa Nairobi.

Kenya kudominate utalii na 90%, ilhali wageni wenyewe hawafiki 200,000, hilo si jambo la kujivunia. Inaonyesha tu kwamba Tanzania walikuwa vipofu ilhali Kenya tulikuwa na jicho moja.

Sasa hivi watalii wa Kenya zaidi ya milioni mbili. Asilimia haijalishi as long as namba ya watalii imeongezeka maradufu.
 
Kwa taarifa yako mwaka 2017 Tanzania ilipokea watalii karibu 1.7 na kwa Zbar ni watalii karibu 500,000.
Kwa watalii wa bara wengi wao wamekuwa wakitembelea mbugani[ ambapo hapo zamani ilikuwa enzi za amboseli, tsavo n.k Kuhusu Zbar imeteka karibu nusu ya watalii ambao hapo awali walikuwa wanaenda kwenye fukwe za Kenya.
Trend inaonyesha kuwa for 2018 TZ inaweza kupokea watalii 2m. Tanzania's gain is Kenya's loss.
Jee unakumbuka ule mgogoro ambao Tanzania ilikataa kupokea watalii kutoka kenya ambao walikuwa wanasafirishwa na magari ya Kenya na baadaye kurudishwa na magari hayo?
Ninakushauri ufike arusha wakati wa tourist season uone activities zilivyokuwa nyingi na kama huna ndugu basi nitakufanyia mpango upate special concession kwenye accommodation.
 
Forum statistics

Threads 1,379,038
Members 525,291
Posts 33,732,735
Top