At Least One Top Scientist Agree with me!!! Women are the most mysterious creatures

Duh, kwahiyo kazi yao ni kuongea na nyie kusikiliza?
Kaaazi kweli kweli.

...yaani huo ndio ukweli wenyewe, there's no way around unless mwanaume anajitafutia kununiwa.
 
si kila kitu uelewe
vingine tumia kama vilivyo

wanawake na wanamme ni kama Tom na Jery, wanapingana na kuchambuana kila siku lakini mmoja akiondoka mwingine hana umaarufu.

Hata wanamme kulalamika kwamba hamelewi wanawake tumeshazoea.

Hureee wanawake
Hoyeee wanamme

siku tukielewana ujue ni mwisho wa muvi hii.
Tungeelewana maisha yangekuwa so boring.

...unless bado mpo kwenye mapenzi machanga,...women rarely asks questions otherwise, anataka kukutuhumu kwa jambo fulani.

I've failed to understand women aisee...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Lakini kuna mahali mkiwa mwanamme ni msumbufu kuliko mwanamke.
Mikono huwa haitulii 'The Wandering Hand Theory' haijalishi mwenzie ana usingizi ama lah!

...yaani huo ndio ukweli wenyewe, there's no way around unless mwanaume unajitafutia kununiwa.
 
...yaani huo ndio ukweli wenyewe, there's no way around unless mwanaume unajitafutia kununiwa.
Na je mnaenjoy kuwa wasikilizaji au hua mnatamani angalau mara moja moja na nyie muwe mnapewa nafasi ya kusikilizwa?
 
Lakini kuna mahali mkiwa mwanamme ni msumbufu kuliko mwanamke.
Mikono huwa haitulii 'The Wandering Hand Theory' haijalishi mwenzie ana usingizi ama lah!
Hahaha. . . .
Kama wenyewe wanachoshwa masikio acha nao wachoshe miili ya wanawake.
 
Pole kaka...it's hard. Ndio zile amenuna unamuuliza "...una nini leo?!" anakujibu "hata mimi sijielewi!..Hakuna Kitu!"

thanks sweetheart...
nina bosi ana kisirani, but she likes flirting
nina associate ana misifa but she is always anticipating
nina mke mwema but she expects more everyday
nina jirani anajali wanangu, but she sometimes cross the border
nina friend anajali, but she is so protective

umewahi kusikia
if you are doing the same thing and getting the same result
maybe you should do the opposite?

...lol, anaku challenge kila siku uje kivingine, ila ukijidai mvumbuzi sana unabandikwa jibu bila swali (huku mdomo umebinuliwa) "....mnh, zamani haukuwa hivi!"

...hahaha, manual sio? ....niliambiwa the best approach, jitahidi kumsikiliza bila kumkatisha
akishaanza kuongea ...muhimu niwe tayari na vibwagizo kama; ..enhee?...kweli?...alaaaa...! acha wewe? duuuhh!
hapo mtaelewana, lakini kujitia mjuzi wa ku offer suluhisho, sijui oohh mtazamo wangu...ni kuchochea mifarakano.

kwenye kesi hii, kamanda MTM, wewe ongeza smiles huku ukitingisha kichwa, au sikitika kama yeye...so long akikuangalia anakuona unajali (hata kama hujaelewa lolote)....you are on safe side!

no wonder women loves film actors.....lol
they can act like they are 'perfect guys'....

...unless bado mpo kwenye mapenzi machanga,...women rarely asks questions otherwise, anataka kukutuhumu kwa jambo fulani.

I've failed to understand women aisee...
You guys made me laugh....aiseee...lol
 
They are both solute mkuu. Love is the solvent. Emotion ndio solvent, actors ni solute. (maoni yangu)

Hah hah Mwali!

Look ... there that INNOCENT strong character in a MAN which is felt in every WOMAN and dissolve her inner being and make HER COMPLETE!

That INNOCENT Naive Strength is the SOLVENT, if not detected by a Woman in a MAN ... She will be something nobody will want see... honestly? She will feel the MAN is becoming a WOMEN ..which is disgusting of course lol

... ANY Women will test for IT ...

... and any women has the right to test That DIVINE sort of Solvent ..She expect to get it ... The wife will test for it, the Boss will test for it, The neighbor will test for it, A Little Girl will test to an old Man ...etc Its that little thing (RESPECT) Women they are looking in a MAN and they can become total and complete ... if they don't get it ... they become something no body will want to see or experience ..
 
Na je mnaenjoy kuwa wasikilizaji au hua mnatamani angalau mara moja moja na nyie muwe mnapewa nafasi ya kusikilizwa?

...lol, thubutu yake!!!....mwanamke husikilizia kwa makini ukiweweseka usingizini...anasubiria atajwe Lizzy ukurupushwe na kofi la uso!
 
...lol, thubutu yake!!!....mwanamke husikilizia kwa makini ukiweweseka usingizini...anasubiria atajwe Lizzy ukurupushwe na kofi la uso!

Hahahahaha. . . .
Na kweli wakati mwingine hua nasikia wanaume wanalalamika "mi mwanamke wangu hajui kusikiliza ye ni kuongea tu". . . .jaribu kumtaja Ashura ndo utajua kama hua anasikiliza au la. Kweli kazi mnayo. . . poleni bana. Tuvumilieni hivyo hivyo.
 
maneno hayavunji mfupa, hayo ya kwao yanavunja mgongo.

Kwanza wanamme wanatakiwa kuwaomba msamaha wanawake kila siku hata kama hawajakosea.
Hahaha. . . .
Kama wenyewe wanachoshwa masikio acha nao wachoshe miili ya wanawake.
 
ha ha ha, kofi la usingizini tamu sana.

sasa kama mnawataja wafanyeje jamani?
Basi muwe mnabandika plasta mdomoni kabla ya kulala.

Afu kwa nini wanamme wanataka wawaelewe wanawake na wao hawataki wanawake wawaelewe?

...lol, thubutu yake!!!....mwanamke husikilizia kwa makini ukiweweseka usingizini...anasubiria atajwe Lizzy ukurupushwe na kofi la uso!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hao huwezi kuwa understanding lazima uwaoe kama wanne, afu uwanze kuwastudy...Kila mmoja na wakati wake.
 
maneno hayavunji mfupa, hayo ya kwao yanavunja mgongo.

Kwanza wanamme wanatakiwa kuwaomba msamaha wanawake kila siku hata kama hawajakosea.
Hahahaha. . . . hayavunji bana, siunakandwa kandwa kidogo baada ya kazi. . . !!

Sasa wakiomba msamaha si watatakiwa waeleze kwanini? Wakisema hawana sababu watatakiwa waeleze kwanini wanaomba msamaha bila sababu. Wakisema "ahhh nimeona unastahili tu" wataulizwa "kwanini uone nastahili kuombwa msamaha bila sababu"?? Mzunguko wa maswali na majibu utaendelea mpaka asubuhi.
 
...lol, thubutu yake!!!....mwanamke husikilizia kwa makini ukiweweseka usingizini...anasubiria atajwe Lizzy ukurupushwe na kofi la uso!

Hahahahaha. . . .
Na kweli wakati mwingine hua nasikia wanaume wanalalamika "mi mwanamke wangu hajui kusikiliza ye ni kuongea tu". . . .jaribu kumtaja Ashura ndo utajua kama hua anasikiliza au la. Kweli kazi mnayo. . . poleni bana. Tuvumilieni hivyo hivyo.
:lol::lol::lol:
 
Hahahaha. . . . hayavunji bana, siunakandwa kandwa kidogo baada ya kazi. . . !!

Sasa wakiomba msamaha si watatakiwa waeleze kwanini? Wakisema hawana sababu watatakiwa waeleze kwanini wanaomba msamaha bila sababu. Wakisema "ahhh nimeona unastahili tu" wataulizwa "kwanini uone nastahili kuombwa msamaha bila sababu"?? Mzunguko wa maswali na majibu utaendelea mpaka asubuhi.

...haya sasa?! ...tena ukiuma uma majibu, ati na taa anawasha halafu anakaa kitako kitandani
akuone vizuri usoni....!
 
...haya sasa?! ...tena ukiuma uma majibu, ati na taa anawasha halafu anakaa kitako kitandani
akuone vizuri usoni....!

Na kila utakalojibu litazua swali jipya mpaka atakapoamua kujiridhisha kwa kukwambia uwe unafikiria kabla ya kuongea.
 
We desh desh akisema kamzimia JUMA kwakati wa maongezi utashtukia?

...kuna mrembo mmoja alikuwa anashikilia besela la kitanda kabisa huku anapiga 'push up' kwa kunogewa na 'penzi' la kwenye ndoto yake, hapo hata ukimpiga ngumi aamke akuambie alikuwa anamuota nani? zero!....anajifanya anakoroma eti!

Na kila utakalojibu litazua swali jipya mpaka atakapoamua kujiridhisha kwa kukwambia uwe unafikiria kabla ya kuongea.

....hapo ndipo ninaposhindwa kuwaelewa wanawake, anapotaka nifikirie kama jibu analotaka!
 
Ungejua wanamakosa by default setting
hata usingewatetea.

Back
Top Bottom