At lastly. Nimeamua kununua fuso fighter na kuacha mpango wa kununua Rosa bus au Nissan civilian

Mkuu unataka vijana tufe njaa wakati ndio kazi zetu.Mwambie atafute tuu dereva anaejielewa ingetosha.Halafu saa hivi kwenye ulimwengu wa tehama anafunga hata vifaa kwenye gari vya kucontrol gari na dereva.

Ni kweli kutoa ajira kwa wengine ni jambo jema sana, lakini naomba nikwambie WaTanzania bado hatujielewi sana na tunatiana hasara sana kwenye utafutaji wa maisha..

Unaweza ukatoa ajira kwa nia njema sana, lakini hao unaowapa ajira either ndugu or mtu baki ni hatari sana aisee, nalijua hili nimeexperience sana, unahitaji controlling ya karibu sana na roho mbaya ukimpa ajira Mtanzania aisee..ukiwa laini laini na huruma wanakufilisi haraka sana...

Biashara ya usafirishaji inahitaji watu makini sana na usimamizi wa karibu, dereva makini na usimamizi makini huleta faida kwa muda mrefu, chombo kinabaki salama, unaepusha ajali zakijinga, nk..
 
Hatimaye nimeamua kwenda kununua Fuso fighter na kufunga Tandam , na nimeacha rasmi mpango wa kununua bus Rosa au Nissan civilian, pia nimeamua kurudi mkoa nikiwa nafuso yangu ili nipige kazi vixur ntakuwa kishoto kwa miez kadhaa kabla sijamuachia dereva rasmi
Mkuu naomba kazi ya kuendesha hiyo fuso hutojutia!
Nimeendesha kwa muda mrefu gari za abiria na lori bila kusababisha ajali.

Pia ninayajua magari nje ndani"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom