HARRISON ONE
Member
- Jan 8, 2014
- 42
- 30
hello girls!!! Mimi ni mwanaume wa miaka 33,nimeajiriwa,msomi wa degree ya pili,smart,medium sized body,mstaarabu.Natafuta msichana ambaye atakuwa mke wangu!, awe na mwonekano mzuri,tabia nzuri,mrembo.maji ya kunde mrefu wastani,mwenye ideas nzuri za kufanya maendeleo,kujenga familia bora na mwisho awe na hofu na mungu.pls if ur serious only,Pm