‘at’ ajaaliwa kupata mtoto wa kike, bado hajampa jina…!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
AT.jpg

MSANII wa muziki wa kizazi kipya ambaye amejikita kwenye muziki wa mduara zaidi Ally Ramadhani ‘AT’, sasa anaitwa baba, kwani mke wake ambaye alifunga naye pingu za maisha amejifungua mtoto wa kike wiki moja iliyopita.

Mtoto wa mkali AT

Wakati mkewe akijifungua AT alikuwa tayari ameshasafiri kwenye nchini Uingereza ambapo ameenda kwa ajili ya show na ameondoka nchini tangu Novemba 4 mwaka huu.

Akiongea na DT, “Nipo nje kikazi lakini taarifa ninazo na nashukuru mungu kwani mke wangu ameweza kujifungua bila matatizo na kama unavyojua siku hizi wanawake wajawazito wamekuwa wakipata matatizo sana wakati wa kujfungua,” alisema.
 
Wakati mkewe akijifungua AT alikuwa tayari ameshasafiri kwenye nchini Uingereza ambapo ameenda kwa ajili ya show na ameondoka nchini tangu Novemba 4 mwaka huu.

Akiongea na DT, "Nipo nje kikazi lakini taarifa ninazo na nashukuru mungu kwani mke wangu ameweza kujifungua bila matatizo na kama unavyojua siku hizi wanawake wajawazito wamekuwa wakipata matatizo sana wakati wa kujfungua," alisema.

Wanaume wako so selfish wakati wa kumtafuta mko pamoja, wakati wa uzazi hayupo na anajua kuwa matatizo yanaweza kutokea wakati wa uzazi, hizo show zingepangwa baaada ya kuzaa, tena first born.

Hongera yake
 
madamex wakae kuangaliana harafu wakale polisi! AT kazi aliyochagua kufanya ni music hivo show inapotokea anaenda,lazima itakuwa allimuacha na ndugu wa karibu,AT alikuwa kwenye majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.na hizo show ajapanga AT bali zimepangwa na wengine yeye kaitwa kupiga show na lazima ameona pesa ni ndefu ndio maana kakubali,yote maisha bibie
 
Back
Top Bottom