Asubuhi unajikuta na doa la kuvilia damu bila kujigonga au kuumia

nshimiyimana

Member
Oct 18, 2014
40
25
a21a77e890930d8f60125b38fe8a6534.jpg


Habari zenu wanajamvi

Mimi nauliza nini kinasababisha unaamka asubuhi unajikuta kuna eneo la mwili limevilia damu na ilhali hujapigwa hujajigonga. Hii inatokea eneo dogo la mwili yaweza kuwa mkono, au mguu na maumivu kidogo lakini baada ya siku mbili tatu linapotea naomba mnisaidie majibu
 
Inawezekana ni allergy na huwa unajikuna sana ukiwa usingizini;nenda Hospital
 
Hiyo ni allergy na vipimo vyetu vya allergy hapa Bongo vya kubahatisha kama mganga wa kienyeji
Mara utaambiwa usile nyama na samaki na mboga na maharage cjui.utaishi vp? Bora peleleza inatokea unapokula nn ili uweze kuacha
 
Back
Top Bottom