Asset au liability Bado ni fumbo kubwa kwa CHADEMA

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,632
40,790
Aliyewahi kuwa Katibu mkuu wa CHADEMA bwana. Slaa wakati akipinga ujio wa Lowassa Chamani aliwauliza wenzake kama wamepima faida na hasara za ujio huo kabla ya kufanya usajili.

Lakini bila kujali swali hilo nyeti CHADEMA walimpuuza na kuendelea na mapokezi ambayo yamewaingiza shimoni mpaka tunavyozungumza sasa.

Swali hilo la Slaa bado linauhai na linaendelea kuitafuna Chadema kwani ipo wazi kabisa kuwa mpaka sasa hawajajifunza kutokana na makosa waliyoyafanya awali na ushahidi wa hilo ni mapokezi ya hivi karibuni ya kiongozi mwingine toka ccm bila kujali hasara ambayo inatokana na ujio huo.

Inatosha kusema tu, kuwa CHADEMA bado haijafanikiwa kabisa kufumbua fumbo la Asset au libility katika mapokezi ya wanachama wapya toka vyama vingine, na hiyo ni moja wapo ya madhaifu ambayo yataendelea kukigharimu chama hiki kwa muda mrefu sana ujao.
 
Aliyewahi kuwa Katibu mkuu wa Chadema Bwn. Slaa wakati akipinga ujio wa Lowasa Chamani aliwauliza wenzake kama wamepima faida na hasara za ujio huo kabla ya kufanya usajili.

Lakini bila kujali swali hilo nyeti chadema walimpuuza na kuendelea na mapokezi ambayo yamewaingiza shimoni mpaka tunavyozungumza sasa.

Swali hilo la Slaa bado linauhai na linaendelea kuitafuna Chadema kwani ipo wazi kabisa kuwa mpaka sasa hawajajifunza kutokana na makosa waliyoyafanya awali na ushahidi wa hilo ni mapokezi ya hivi karibuni ya kiongozi mwingine toka ccm bila kujali hasara ambayo inatokana na ujio huo.

Inatosha kusema tu, kuwa Chadema bado haijafanikiwa kabisa kufumbua fumbo la Asset au libility katika mapokezi ya wanachama wapya toka vyama vingine, na hiyo ni moja wapo ya madhaifu ambayo yataendelea kukigharimu chama hiki kwa muda mrefu sana ujao.
Hujapona stroke kiongozi tulia mpaka upone usije tuangukia hapa.
 
Ila kupokea we cdm kuja ccm ndo sawa kama vile madiwani acha upotoshaji
 
Chadema haijawahi kufanya maamuzi mazuri Katika kupokea wanachama wapya
Upo sahihi mkuu,hebu angalia usajili wa wema sepetu ulimvyomdhalilisha Mbowe na unavyozidi kukichafua chama chao kwa picha zake za faragha
 
SUMAYE naye kajizalilisha eti kakaa ofisini kanda ya pwani kumsubili Wema ! Kwani alitokea !!!! Thubutu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom