Assalaam aleykum wana jamii wote

ATA

Member
Oct 12, 2011
84
22
Assalaam aleykum wanajamii!
Ndugu yenu ATA nimekaribia ndani ya nyumba baada ya kuingia kama mgeni kwa muda mrefu. I salute all jamii forum stake holders ( founders and members) for your contributions. sikuwa 'member' lakini jf kwa muda mrefu imekuwa ni chanzo muhimu cha habari, elimu na burudani. Once more I salute you and wish you all the best God bless you.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom