Asprin, teamo & the finest .... Katika kuadhimisha kifo cha mwl. Nyerere

Mi nshamaliza maungamo yote....hebu cheki na kaizer labda...au teamo...au asprin.....

Hivi mwanasheria wenu ni nani? nina mpango wa kuishitaki Club yenu

walikuwa wanatafuta speed ya kulia, ukizingatia maneno ya Mwl Nyerere kwenye mkutano wa NEC 1995 DDM
aliposema ikiwa ccm itamsimamisha mgombea mbovu ni dhahiri kuwa rais wa tanzania atatoka nje ya ccm

Inaonekana walikuwa na uchungu sana
 
Wakutafute wapi Smiles....
Ukizingatia hii status yako:posted via Mobile....

Roya...walio makini walisha nitafuta!
Wewe sijui ulikuwa wapi...? Au ulikuwa hujaelewa 'and the company' inamaanisha nini...?:confused2:
 
eeh bwana ndio.........................!
hapo lazima kuna aliyeangusha gari................!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom