Aslay moto wa kuotea mbali

Barcelona763

Member
Mar 9, 2018
26
21
Aslay amefanya vizuri mwaka huu ndio maana ukisikiliza muziki wake mzuri kwenye YouTube utanielewa. Aslay yupo na sauti nzuri ya kuimba kama ya king kiba. Ukilinganisha na wasanii wafutao
Jux
Harmonize
Baraka da prince,
RayVanny
timbulo
neddy music
abdu kiba
 
Aslay aimbe aimbavyo lakini hawezi imba key za juu kama Rayvany, hebu kasikilize wimbo wake wa wasiwasi alioutoa wiki mbili zilizopita.
 
Kinachomwangusha dogo ni "mono-styler"....watu wanapenda ladha mpya na si ladha ileile kila siku inakinasha.....
ukiangalia/Ukisikiliza nyimbo za dogo kuanzia melody, Beats, Vocals na contents huwa vinafanana sana...dogo abadilike la sivyo Mbosso Atammaliza coz raia washaanza kumwelewa mbosso sasa!!
 
Hivi huyo Mbuso huwa anaimbaga manini mpaka uanze kumuelewa?
 
Aslay amefanya vizuri mwaka huu ndio maana ukisikiliza muziki wake mzuri kwenye YouTube utanielewa. Aslay yupo na sauti nzuri ya kuimba kama ya king kiba. Ukilinganisha na wasanii wafutao
Jux
Harmonize
Baraka da prince,
RayVanny
timbulo
neddy music
abdu kiba
Wewe una chuki
 
Kinachomwangusha dogo ni "mono-styler"....watu wanapenda ladha mpya na si ladha ileile kila siku inakinasha.....
ukiangalia/Ukisikiliza nyimbo za dogo kuanzia melody, Beats, Vocals na contents huwa vinafanana sana...dogo abadilike la sivyo Mbosso Atammaliza coz raia washaanza kumwelewa mbosso sasa!!
Kweli aisee nyimbo zake nyingi ni za kulialia tuu khaaa anakera sana
 
Anaimba Sindimba ya kule kijijini kwenu "Ngonja-Nanguruwe Wilayani Nanyumbu Nkoani Ntwara"!!!
Nakushukuru mkuu kwa kunifahamisha kama unatokea Mtwara, nitakuja huko kununua korosho na ntakupa kazi ya udalali na sio hii ya kuanza kumlinganisha msanii Aslay na hao wacheza sindimba wa huko kwenu Mtwara.
 
Acha tu huyu dogo aslay jamani Mimi nna nyimbo zake tu kwenye system yangu ya mziki kwa hapa bongo...

Miziki mingi ya mambelee...na bongo zile za 2007 kurudi nyumaa!!!!
 
Upo kama Mimi tena za mbele napenda zile za kulia lia kama za Enrique inglesias, Mac Antony....
 
Nyimbo za kulialia huwa nzuri but unaishiwa kutunga ukimaliza visa vyako. Mfano walioimba nyimbo za kulialia ni;
1. Ferooz
2. Tundaman
3......

Sasa wako wapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom