Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

2018 Upepo unaanza kubadilika.
Safari hii ni zamu ya Mchg. KAKOBE kuonesha makeke yake.
Tutegemee mengi kutoka kwa Mchg. KAKOBE 2018, kwani senema ndio kwanza Imeanza.
Lakini pia Mchg. KAKOBE alisahau kusoma kitabu cha Warumi.
 
.muumini wa kakobe akihama kanisa la kakobe kakobe humtangazia vita.Hakuna MTU mpinga demokrasia na dikteta kama kakobe kasahau yeye hudai kanisa hakuna cha demokrasia wala nini ni theocracy tu hakuna cha demokrasia.Halafu kaehuka toka lini Mungu anawajibika kuheshimu sheria na katiba zilizotungwa na wanadamu? Yeye yuko juu ya sheria zote za dunia hii ziwe za sayansi au chochote.ndio maana yesu alitembea juu ya maji kinyume cha sheria za sayansi na alipaa kinyume cha sheria za sayansi.Ni vizuri kakobe astaafu aachie damu changa zishike kanisa
Ndiyo kilichobaki kwenu... Mtu akiwakemea muache uovu.,mnamwambia aachie madaraka kachoka, same to mbowe kawabana hanunuliki na ccm ,eti aachie uenyekiti...cheyo, Mrema wa tlp,dovutwa..kwasababu hawawapingi hamuwaambii waachie uenyeviti....pumbafu kabisa ccm
 
Magufuli inabidi asikilize ushauri wa watu na aache mambo ya you can’t question rais. Wengi kwenye mioyo tunasononeka na yeye, tunamuachia mungu tu, na mimi sio mpiga dili kama ambavyo yeye anapenda ku ‘generalize’
 
Nabii eliya alionya sababu nchi ilikuwa dini moja watu wote waliwajibika kwa viongozi wa dini moja usichanganye masomo.Wewe ukiwa nabii ni kwenu na kwa wafuasi wako sio kwa kila MTU.Magufuli kiongozi wake wa kidini sio kakobe.Manabii wa Israel walikuwa na nguvu sababu walikuwa viongozi wakuu wa dini ya kiyahudi ya nchi nzima.Acha kuokoteza mistari ya Biblia
Yani wee jamaa bukusaba zimekulewesha kabisa na kufunika fikra zako....kwahiyo pengo et al..walipo kuwa wanamtolea kikwete nyaraka ,kikwete alikuwa ni mkristo???

Ukijibu hili ntarudi..
 
kama nabii Eliya aliishi sehemu yenye dini moja, ilikuwaje akashindana na mabaali? kulikuwa na watu wanaomwabudu Mungu wa kweli, na wengine walimwabudu Mungu baali (AMBAYE hadi leo kuna baadhi ya watu wanamwabudu bila kujua, amebadilishwa tu jina)....aliishi kwenye dini nyingi,acha kupotosha watu.
Akikujibu unitag...
Haya ni mashoga yako pale Lumumba yanayopiga propaganda mitandaoni
 
2018 Upepo unaanza kubadilika.
Safari hii ni zamu ya Mchg. KAKOBE kuonesha makeke yake.
Tutegemee mengi kutoka kwa Mchg. KAKOBE 2018, kwani senema ndio kwanza Imeanza.
Lakini pia Mchg. KAKOBE alisahau kusoma kitabu cha Warumi.
Kakobe hajawahi kuogopa mtawala, Mkapa na Jk wanamfahamu vilivyo
 
Mleta mada jibu hoja ya kakobe siyo kumshambulia. Kama malaika wenyewe alikosea sembuse binadamu mtawala? Anae takiwa kutafakari ni yule aliyeambiwa akatubu na wala siyo aliyesema
 
kama nabii Eliya aliishi sehemu yenye dini moja, ilikuwaje akashindana na mabaali? kulikuwa na watu wanaomwabudu Mungu wa kweli, na wengine walimwabudu Mungu baali (AMBAYE hadi leo kuna baadhi ya watu wanamwabudu bila kujua, amebadilishwa tu jina)....aliishi kwenye dini nyingi,acha kupotosha watu.
sina haja ya kubishana nawe..kama hujaelewa, hutaelewa tu.
 
Back
Top Bottom