Askofu wa KKKT kanda ya kaskazini Dr Laizer amtambua Meya wa Jiji la Arusha

Crashwise mratibu wa mbunge umekufanya mjinga.Onyesha unafiki au uongo.Askofu Laizer hakutamka hamtambui Meya wa Arusha uwanja wa NMC ?.

Huwana napingana nawewe kwasababu maranyingi wewe huleta habari zilizojaana unafiki hata hii habari umeileta kishabiki lakini sina tatizo na chadema kujadiliwa.......kwenye nyekundu ni uongo,
 
Mkuu Director.

[1] Mkuu system ya uchaguzi Tanzania si kama ujerumani.Tanzania mshindi hata wa kura moja anachukua kila kitu.Uchaguzi wa Igunga CDM wameshindwa.

[2] CUF kabla ya uchaguzi wa Igunga walikuwa na mtaji wa kura 11,000 baada ya uchaguzi waliambulia kura 2,000.Naomba nikuachie urefarii mwenyewe kama CDM wamejiweka pazuri consider na gharama walizotumia kama wataweza kufanya hivyo mwaka 2015.

Mkuu mimi sina kadi ya chadema lakini naunga mkono jitihada za chadema kuleta mabadiliko,,sasa tusipofanya hivyo nani mwingine anayeweza kutuletea hayo mabadiliko
vilevile nataka ujue sio kwamba nimeweka matumaini yangu kwa chadema kwamba inaweza kuleta mabadiliko ya kweli,lakini kama ikiweza kuitoa ccm madarakani nitashukuru kwa sababu itakuwa ni hatua ya kwanza kuelekea kwenye mabadiliko
chadema wanaweza kuja kuharibu kuliko ccm lakini ni bora kwanza ccm itoke ili tuvute pumzi kuelekea hatua nyingine
 
Crashwise sina matatizo na maandamano isipokuwa kama maandamano yenyewe yana tija.Suala la umeya Arusha lingemalizwa na mahakama bwana mdogo si maandamano haya niambie baada ya maandamano uchaguzi wa meya umerudiwa ?.

Hivi maandamano siyo haki ya mtanzania na ninarudia swali langu ni wakati gani wa kuandamana....
 
Crashwise mratibu wa mbunge umekufanya mjinga.Onyesha unafiki au uongo.Askofu Laizer hakutamka hamtambui Meya wa Arusha uwanja wa NMC ?.
Masaburi Ngongo, alitoa tamko hilo siku ya maandamano au siku ya maombolezo.....
 
Mkuu Director.

Bila shaka tuko pamaja kabisa tunachopishana ni mabadiliko mradi mabadiliko.Nataka CDM waongoze mabadiliko ya kweli ndiyo maana wanapokosea tunawaambia wajisahihishe sio kusifia hata jambo la kijinga.

Mkuu mimi sina kadi ya chadema lakini naunga mkono jitihada za chadema kuleta mabadiliko,,sasa tusipofanya hivyo nani mwingine anayeweza kutuletea hayo mabadiliko
vilevile nataka ujue sio kwamba nimeweka matumaini yangu kwa chadema kwamba inaweza kuleta mabadiliko ya kweli,lakini kama ikiweza kuitoa ccm madarakani nitashukuru kwa sababu itakuwa ni hatua ya kwanza kuelekea kwenye mabadiliko
chadema wanaweza kuja kuharibu kuliko ccm lakini ni bora kwanza ccm itoke ili tuvute pumzi kuelekea hatua nyingine
 
Crashwise sina matatizo na maandamano isipokuwa kama maandamano yenyewe yana tija.Suala la umeya Arusha lingemalizwa na mahakama bwana mdogo si maandamano haya niambie baada ya maandamano uchaguzi wa meya umerudiwa ?.
Unaamini kama chadema tungeenda mahakamani uchaguzi ungeshafanyika....?
 
Baada ya miaka mingapi?

Kwani uchaguzi utarudiwa baada ya miaka mingapi kwa kuandamana kwa siku moja na kisha kupotea?sikuzote maandamano yanayoweza kuleta matokeo yanapaswa yawe ni ya mfululizo na yasiyo na kikomo, sasa leo ni miezi zaidi ya miezi 8 mambo kimya....

Cha ajabu zaidi sasa badala ya serikali/CCM kuomba kufanya mazungumzo eti "waliokuwa wanaamini suluhisho ni maandamano" eti ndio sasa wanaomba kufanya mazungumzo, sasa eti wanaamini soluhisho sio maandamano tena bali mazungumzo, kwanini hawakuliona hilo kabla?

Huu ni ukosefu mkubwa wa uongozi, ni ishara ya ukurupukaji wa uongozi, na bahati mbaya sana maamuzi hayo ya "kukurupuka" yaligharimu maisha ya wananchi waliowaamini sana viongozi wao, na mwisho wa siku kumbe viongozi wenyewe ata hawana strategy endelevu...
 
Butola hakika umenena vyema.

Crashwise uliogopa kwenda mahakamani kwa kigezo cha miaka !.Haya sasa baada ya maandamano umeshatatua tatizo ?,mbona unadai mazungumzo hivi unajua gharama ya kukurupuka !.

Baada ya miaka mingapi?
 
Crashwise uliogopa kwenda mahakamani kwa kigezo cha miaka !.Haya sasa baada ya maandamano umeshatatua tatizo ?,mbona unadai mazungumzo hivi unajua gharama ya kukurupuka !.
Ni maamzi ama kwenda mahakamani au ama maandamano....
 
Mshikachuma heshima kwako.

Mkuu Mshikachuma nimeona jambo nimeleta jamvini mambo ya mimi kutoipenda CDM yametoka wapi ?.Kwa taarifa yako mimi ni mtu huru si mwanachama wa chama chochote cha siasa.Ninachojaribu kuwaambia wanazi wa CDM waangalie sana strategics zao watu wamechoka kweli wanataka mabadiliko ya kweli si mabadiliko ya kisanii.Kama waliona meya kachaguliwa isivyo halali kwanini hawakwenda mahakamani ?.Badala yake wakachukua mkondo wa maandamano ?
Mambo mengine bana!! Hapo kwenye RED hata tusiongelee, kwasababu unajichanganya tu!!!
Laizer akikubali kwamba Lymo ni mayor, kwako inakuwa shangwe na tangazo,
Laizer akikataa kwamba Lymo sio Mayor, unamshangaa.........kwahiyo Laizer ndio kipimo chako!!
Au unazi wa TLP na chuki binafsi!!
 
Crashwise mratibu wa mbunge umekufanya mjinga.Onyesha unafiki au uongo.Askofu Laizer hakutamka hamtambui Meya wa Arusha uwanja wa NMC ?.
Je ametamka sasa kuwa anamtambua?
Ametamka wapi na lini?
 
Kwani uchaguzi utarudiwa baada ya miaka mingapi kwa kuandamana kwa siku moja na kisha kupotea?sikuzote maandamano yanayoweza kuleta matokeo yanapaswa yawe ni ya mfululizo na yasiyo na kikomo, sasa leo ni miezi zaidi ya miezi 8 mambo kimya....

Cha ajabu zaidi sasa badala ya serikali/CCM kuomba kufanya mazungumzo eti "waliokuwa wanaamini suluhisho ni maandamano" eti ndio sasa wanaomba kufanya mazungumzo, sasa eti wanaamini soluhisho sio maandamano tena bali mazungumzo, kwanini hawakuliona hilo kabla?

Huu ni ukosefu mkubwa wa uongozi, ni ishara ya ukurupukaji wa uongozi, na bahati mbaya sana maamuzi hayo ya "kukurupuka" yaligharimu maisha ya wananchi waliowaamini sana viongozi wao, na mwisho wa siku kumbe viongozi wenyewe ata hawana strategy endelevu...
Inaeleke hujui kilicho tokea mpaka kufikia maandamano....chadema ilishaomba mazungumzo hata kabla ya kuandamana ambayo alitakiwa kumhusisha waziri mkuu na msajiri wa vyama pinda na Tendwa wakaleta blah blah ndipo yakaitishwa maandamano...chadema inaamini katika mazungumzo lakini ikishindikana swala linapelekwa kwa wana nchi hata leo kama wana nchi wa Arusha wakisema basi naamini ndiyo itakuwa maamzi ya mwisho....lakini si madiwa kuhongwa na kutaka kutuburuza na kuhakikishia kama wale madiwa kabla ya kuingia mwafaka wangepelaka kwa wananchi wao na wakaya bariki basi leo hii tungekuwa tunaongea mengine....
 
Siwezi kuchangia hoja hii iliyoletwa na huyu bwana Ngongo kwakua nimeshajua yuko upande gani wa shilingi!
 
Bigirita heshima kwako.

Nadhani umedandia treni mbele lazima utaumia kuna mambo ya msingi umeshindwa kujua au pengine unapenda ligi ya ubishi usiokuwa na maana wakati mwingine CCM wanashinda si kwasababu ni wazuri au ni wajuzi wa chaguzi bali umbumbu wa upinzani.Sakata la Meya wa jiji la Arusha lilivuta hisia za viongozi wa dini na siasa,bahati nzuri viongozi wa dini Askofu Thomas Laizer KKKT na Catholic wote walilaani zoezi la uchaguzi wa meya na walitoa matamko hadharani ya kutomtambua Mheshimiwa Gaudence Lyimo kama meya wa Jiji la Arusha.

CCM kupitia katibu wa mkoa wa Arusha Mama Chatanda alitoa tamko la hovyo kuwajibu maaskofu,lakini makamu mwenyekiti wa CCM taifa wakati huo Mzee John S Malecela akalipinga tamko la Mama Chatanda.Waziri Stephan Wasira akatumwa Arusha kuzungumza na viongozi wote wa dini [waIslam na waKristo] maaskofu wakiwemo.Kuna kila dalili maaskofu walimwelewa Wasira na matokeo yake viongozi wa dini wakabadili misimamo yao.Unaweza kuona na kubaini kwamba CCM wanajua kuhandle matatizo yao vyema kwa upande wa CDM hali haiko hivyo bado wanadhani matatizo yao yatajitatua yenyewe.

Mambo mengine bana!! Hapo kwenye RED hata tusiongelee, kwasababu unajichanganya tu!!!
Laizer akikubali kwamba Lymo ni mayor, kwako inakuwa shangwe na tangazo,
Laizer akikataa kwamba Lymo sio Mayor, unamshangaa.........kwahiyo Laizer ndio kipimo chako!!
Au unazi wa TLP na chuki binafsi!!
 
Mkuu mimi sina kadi ya chadema lakini naunga mkono jitihada za chadema kuleta mabadiliko,,sasa tusipofanya hivyo nani mwingine anayeweza kutuletea hayo mabadiliko
vilevile nataka ujue sio kwamba nimeweka matumaini yangu kwa chadema kwamba inaweza kuleta mabadiliko ya kweli,lakini kama ikiweza kuitoa ccm madarakani nitashukuru kwa sababu itakuwa ni hatua ya kwanza kuelekea kwenye mabadiliko
chadema wanaweza kuja kuharibu kuliko ccm lakini ni bora kwanza ccm itoke ili tuvute pumzi kuelekea hatua nyingine

...hapo kwenye nyekundu....Tuchunge tusicheze kamari na amani ya nchi...Ni vigumu sana sana sana kuirejesha tukiipoteza!!!
UONGOZI WA NCHI HAUFANYIWI MAJARIBIO!. Kiongozi...CHADEMA BAADO SANA, Viongozi waliopo kwa sasa ni wasanii, wafanyabiashara, wabinafsi, wakabila, wasioona mbali.
Tz bado kupata chama makini cha upinzani.
 
Back
Top Bottom