Askofu wa KKKT kanda ya kaskazini Dr Laizer amtambua Meya wa Jiji la Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu wa KKKT kanda ya kaskazini Dr Laizer amtambua Meya wa Jiji la Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngongo, Oct 6, 2011.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Askofu wa KKKT dayosisi ya kaskazini Dr Laizer anamtambua Mheshimiwa Gaudence Lyimo kama meya halali wa jiji la Arusha.Uthibitisho nimehushuhudia mwenyewe kwenye kadi ya mwaliko toka kwa Askofu Dr Laizer kwenda kwa Mheshimiwa Gaudence Lyimo ambaye atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za dayosisi.

  Itakumbukwa sakata la maandamano Arusha Askofu Dr Laizer alitamka hadharani kutokumtambua meya wa jiji la Arusha na kwamba wasingeshirikiana naye.Kufuatia mwaliko wa Askofu Dr Laizer ni dhahiri ameuweka kando msimamo wake wa awali pengine ni baada ya kutambua walichokuwa wakielezwa na CHADEMA hakikuwa sahihi.

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mmh naona Ngongo umefurahi sana! maana huipendi CDM wewe! sijui walikukosea nini.
  Haya tumekusikia siye yetu macho tu....lakini upepo wa mabadiliko uko pale pale
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Mshikachuma heshima kwako.

  Mkuu Mshikachuma nimeona jambo nimeleta jamvini mambo ya mimi kutoipenda CDM yametoka wapi ?.Kwa taarifa yako mimi ni mtu huru si mwanachama wa chama chochote cha siasa.Ninachojaribu kuwaambia wanazi wa CDM waangalie sana strategics zao watu wamechoka kweli wanataka mabadiliko ya kweli si mabadiliko ya kisanii.Kama waliona meya kachaguliwa isivyo halali kwanini hawakwenda mahakamani ?.Badala yake wakachukua mkondo wa maandamano ?


   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,929
  Trophy Points: 280
  Hakika wewe ni mtu huru na hauna chama.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ....ni wakati gani wa kuandamana....
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Huyu ni mnazi wa TLP na baada ya kupigwa chini tena kwa aibu akahamia CCM....
   
 7. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Aahaaa kumbe! ndiyo maana huyu mshikaji anapinga kila kitu kinachofanywa na CDM! anywyz kwa TLP kapotea kabisa....ni bora
  ajiunge na wapambanaji wa ukweli waliodhamilia mageuzi ya kweli kwa kuwakomboa watanzania. Ngogo karibu kundini mkuu!
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Crashwise.

  Sheria zipo wazi CDM walitakiwa ndani ya siku 30 wamfungulie mashtaka mkurugenzi wa jiji/wahusika wa uchaguzi wa meya hawakufanya hivyo ?.

  [1] Nachukulia kutokwenda mahakamani kupata haki iliyodhulumiwa ni dalili kwamba CDM hawakuwa na hoja za maana.

  [2] CDM ni miongoni mwa vyama vyenye bahati ya kuwa na wanasheria wengi wenye ujuzi wa hali ya juu kuhusiana na mambo ya sheria je waliwahushisha wanasheria au yalikuwa ni maamuzi ya kisiasa zaidi ?.   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu umekuja na maneno ya upole sana
  tambua kwamba dr laizer ni mtumishi wa mungu,kwa yeye kumwalika lyimo haina maana kwamba anaunga mkono,labda anatimiza neno la mungu
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mshikachuma.

  Crashwise hapendi mijadala hataki CDM au mtu wa CDM aguswe kwa namna yoyote.Niliwahi kumwambia asahau uchaguzi wa Meya sana sana afikirie uchaguzi wa ubunge hakutaka kunisikia.Badala ya kuzungumzia hoja iliyoko jamvini anakimbilia kumchambua Ngongo !.Hataki kuumiza kichwa imekuwaje Askofu aliyekuwa sambamba na CDM kipindi cha maandamano na wakati wa ibada ya mazishi ya waanga wa maandamano abadili msimamo ndani ya muda usiozidi mwaka mmoja.


   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Huja jibu swali langu wakati gani mwafaka wa kuandamana.....au ukiwa na wanasheria hutakiwi kuandamana....
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Mkuu Director1.

  Mkuu Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa ili wananchi wafaidi rasilimali ambazo mwenyezi mungu katujalia.Mabadiliko ya kweli lazima yaongozwe na watu sahihi.Ninachokiona CDM ni usanii wa hali ya juu na propaganda amabazo hazitusaidii.Wakikosea wanatafuta majibu mepesi na propaganda za kuwadanganya wananchi wasiopenda tafakari.Wameshindwa uchaguzi wa Igunga wakaanza ohoo CCM wametuimia bilioni 1 or 2,Ohoo chakula cha msaada CCM wameshinda viti vingi vya udiwani sijui na huko walitoa msaada wa chakula ?.

  Nimeuliza swali dogo na jepesi sana ni kwanini CDM haikwenda mahakamani kupinga uchaguzi wa meya ?Crashwise badala ya kujibu kaamua kupindisha mjadala ohoo Ngongo TLP ohoo kaamia CCM.Nasema bila tafakari ya kina CDM haiendi popote itabaki hapa JF kutetea ujinga.


   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Kama CDM ingefungua shauri mahakamani kusingekuwa na haja ya maandamano.

   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu naomba nikuulize swali
  chadema haikusimamisha mgombea wa ubunge igunga miaka yote ya nyuma,
  huu uchaguzi ni wa kwanza kwa chadema igunga
  unaonaje matokeo??je chadema wamejiweka pazuri igunga au walishindwa?
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hana chama wapi huyu ni magamba
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  neno la mungu linatimizwa kwa mzulumishi? Na kwanini mwanzo alitoa msimamo wa kutomtambua? Au anafuata mkumbo
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Huwana napingana nawewe kwasababu maranyingi wewe huleta habari zilizojaana unafiki hata hii habari umeileta kishabiki lakini sina tatizo na chadema kujadiliwa.......kwenye nyekundu ni uongo,
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Mkuu Director.

  [1] Mkuu system ya uchaguzi Tanzania si kama ujerumani.Tanzania mshindi hata wa kura moja anachukua kila kitu.Uchaguzi wa Igunga CDM wameshindwa.

  [2] CUF kabla ya uchaguzi wa Igunga walikuwa na mtaji wa kura 11,000 baada ya uchaguzi waliambulia kura 2,000.Naomba nikuachie urefarii mwenyewe kama CDM wamejiweka pazuri consider na gharama walizotumia kama wataweza kufanya hivyo mwaka 2015.


   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Na wewe nimekuuliza swali jepesi ni wakati gani wa kwenda mahakamani.....wewe mwizi na kwapua shati lako harafu wewe unakimbilia mahakamani....
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hivi maandamano siyo haki ya mtanzania na ninarudia swali langu ni wakati gani wa kuandamana....
   
Loading...