Askofu Shoo: Yanayotendeka katika nchi hii yanasikitisha, Watanzania pigeni magoti mbele ya Mungu atajibu

hivi huyu hayupo kwenye chama kile cha TEC? Kama yupo wakipewaga mualiko wanaongeaga nini na maRais, au ndo wanaishia kuombea amani tu? Maana sielewagi mtu mwenye kum-face almost Rais atleast mara mbili kwa mwaka anakuja kutulalamikia tena sisi raia wa kawaida
TEC ni ya Wakatoliki
 
Kama vitu huvijui, jifunze kukaa kimya.

TEC ni ya wakatoliki, Dr Shoo sio mkatoliki, upo nyonyo ?
 
Kabila lake la kazi gani? jibu alichoongea.Sura yake ya kazi gani? jibu alichoongea, kama hamna bando ya kufungua video semeni tuwachangie.
Yawezekana ana hoja lakini kwa nafasi yake katika jamii hoha hiyo asingeyatoa hapo kwani anao uwezo wa kuongea na mamlaka. Na kama alikuwa na nia angewasiliana na mamlaka ikampa Mbowe rukhsa ya kuhudhuria maziko ya mama mkwe wake
 
hivi huyu hayupo kwenye chama kile cha TEC? Kama yupo wakipewaga mualiko wanaongeaga nini na maRais, au ndo wanaishia kuombea amani tu? Maana sielewagi mtu mwenye kum-face almost Rais atleast mara mbili kwa mwaka anakuja kutulalamikia tena sisi raia wa kawaida
We ni mpuuzi TEC hata mara moja hawahudhurii mambo ya mialiko ya serikali.
Kama ipo tuletee humu
 
Ninakuhakikishia hutakaa umuelewe hata siku moja, ana akili kubwa sana well above your understanding...
Bavicha Bwana sijui akili zenu huwa zinakaa wapi? Yaani mtu akiwa Upande wa CHADEMA tu tayari akili yake inakua kubwa.
 
Umaskini ni laana na sio Jambo la kujivunia
Ndio lakini maskini wapo nasi siku zote. Nao kama ni waumini wanastahili huduma za kiroho kama wengine. Haifai kwa kiongozi wa dini kuwa na double standards.
 
Huyu jamaa si Ni mchagga? Sioni jipya toka kwake!!!!
Wengine waliokamatwa hawaongei like mashehe wa uamsho Ila ndugu yake akakamatwa anaongea. Ila mangi bana. Apewe tu Kilimanjaro iwe nchi kamili afu afukuzwe kwenye nchi yetu.
Mana wao wameshaendelea kabla hata ya ukoloni.

Mbona watu wengi Sana wanasingiziwa kesi Ila huwa haongei. Ama anadhani damu ya mbowe Ina thamani kuliko damu za akina akwilina
 
Daima huyu mtumishi hanaga unafiki wa kujipendekeza maneno yake yamenyooka kama miale ya jua hapana tafuna maneno "MBOWE SIYO GAIDI"
Humjui vizuri. Namfahamu tangia alipokuwa msaidizi wa askofu wa dayosisi ya Kaskazini. Hakuna anayesisitiza mbowe ni gaidi lakini kwa kuwa kuna mashtaka mbele yake anapaswa kujitetea KWA NINI YEYE SIO GAIDI. Simple case kama anavyosema LISU.
 
Back
Top Bottom