Askofu Shoo: Waziri Mkuu tunaomba Serikali itupunguzie mzigo wa kodi kwenye shule na hospitali zetu, Tumeelemewa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,560
141,377
Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT nchini Dr Shoo ameiomba serikali ya Rais Samia kuwapunguzia kodi katika shule na hospitali za taasisi za kidini kwani mxigo wa kodi ni mkubwa na umewaelemea.

Askofu Shoo ametoa ombi hilo mbele ya waziri mkuu mh Majaliwa katika ibada ya kumuweka kitimi Askofu Mbali wa dayosisi ya kaskazini mashariki anayechukua nafasi ya askofu Dkt. Munga aliyestaafu.

Askofu Shoo amesema CCT itaandika barua rasmi serikali kuhusiana na suala hilo

Kazi Iendelee!
 
Kasimu Majaliwa ni ceremonial leader hana maamuzi wala hana meno yupo yupo tu kama bolizozo!!
 
Back
Top Bottom