Askofu Shoo: Rais Samia ameletwa ili atibu majeraha

pumbavu zake hana lolote ni tumbo lake ndo linalomsumbua, amejaa urafii na uroho wa pesa!!,aache uaskofu tumchangie mtaji wa biashara!! huyu bwasheee anasktsha Sana!!
Hao wakiona serikali iliyopo haina maslahi nayo ni kuleta vijembe mtu ni askofu anapata pesa ila bado anataka zaid
 
Hospial xa level ya KCMC ni pamoja na mloganzilla ,bugando na mhimbili kwa napo huna jipya!
Yeye ndiye anaweza kukuchangia Biashara; Wewe unaishi ukweni, yeye anaishi kwake, yeye anasomesha mayatima, wana hospitali ya KCMC ni leve au zaidi ya Muhimbili, wewe hata Kondom hapo ukweni unatumia za msaada wa watu wa marekani, in short huna guts ! wala chochote zaidi ya pumb* zinazoninginia hapo bila msada wowote wa wakwe zako.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom