YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Naelewa haurithiw lakini angekuwa consistent angeupata sababu nchi zenye wakatoliki wengi Papa huteua KardinaliUsidhani kila mtu ni mbumbumbu kama MATAGA wenzako. Muda wa miaka sita wa NiweMugizi uliisha.
Halafu upumbavu wako unadhani ukardinali unarithiwa.
Niwemugizi kapwaya hadi Papa kamgwaya kumteua kardinali!!
Sababu sifa ya kardinali hatakiwi kuwa na misuguano na watawala kwenye nchi zenye majority na watawala high office catholics
Niwemugizi anambeza Raisi mkatoliki Magufuli as if he is nobody!!!
Anaenda kinyume na vision ya kanisa Katoliki worldwide ya kutawala dunia!!
Niwemugizi hajapikwa vizuri hata kuwa Askofu!!