Askofu Ruwaichi: Natamani watanzania wote wangepatiwa huduma kama niliyopatiwa mimi!

Haiwezekani wote tufanyiwe kama. Unadhani bibi yangu kule tabora akizidiwa itawezekana ndege imfate? Haiwezekani. Labda angesema anatamani angepata huduma kama watanzania wengine wa kawaida. Pengine saa hizi tungekuwa kwenye maombolezo.
 
Kwani huduma alijipa au alipewa akiwa mahututi,

unaniangusha mkuu.. yeye kifupi katibiwa vzr kwa sababu ni kiongoz mkubwa tena mzito tena kwa sadaka za waumini so anatamni huduma bora za kiafya kama aliyopata yeye iwe ni kawaida kwa wananchi wote
 
Back
Top Bottom