Askofu Pengo arudishwa tena Muhimbili

News TZ

Senior Member
Jun 17, 2015
127
69
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amelazwa tena katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa matibabu.
 
Pole sana Baba, Mwadhama Kardinali Pengo. Tunakuombea upone haraka na urudi kutuhudumia.
 
Mungu amponye maradhi yanayomsumbua ili apate kuendelea na kazi yake ya kichungaji.
 
Naomba kueleweshwa wakuu. Hivi Pengo ndiye askofu mkuu wa Tamzania? Kama ndiye mbona huwa anaitwa Mhashamu wa Jimbo la Dar? Naomba anayejua vyeo vya kanisa la Roma
 
Pengo ni Askofu wa Jimbo la Dar es salaam (jimbo kuu) lkn si askofu mkuu wa Tanzania. Lkn pia ni Kardinali.
 
Back
Top Bottom