#COVID19 Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona

Yani ulivyo tutusa unataka mimi niwaze kama wewe ?

Kwani papa anashindwa nini kuingilia?

Yanayoendelea Italy sio Tanzania

Usije ukafiri unauwezo mkubwa wa kuyatafakari mambo kumbe umejaa ujinga tu kichwani mwako

Shika adabu yako usinizoee



Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mkali kiongozi jamaa alitakiwa akujuze tu, nikuwa papa anazaidi ya mwezi amelifunga kanisa itali na amejifungia ndani hatoki nje ibada anafanyia ndani
 
Mkuu hawa Chadema huwa wanadhani Jamii forum ni mali yao

Lazima tuende nao kimafia

Akija kistaarabu atajibiwa, akija kibangi bangi atapewa za uso

Usiwe mkali kiongozi jamaa alitakiwa akujuze tu, nikuwa papa anazaidi ya mwezi amelifunga kanisa itali na amejifungia ndani hatoki nje ibada anafanyia ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana hawa ndiyo watu wanajua kufikirj wenyewe sio kusubiri MTU mmoja afikiri kwaniaba yenu!! Wengi wanaojikausha kisa ni sadaka siokwamba wanatamani sana kuhubiria watu
 
Linapokuja swala la maaskofu wasioyumba huyu ni mmoja wao misimamo yake ilipelekea mpaka akahojiwa uraia wake

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa. Hivi walishamrejeshea paspoti yake? Huyu ndio alitakiwa amrithi Pengo hapa Dar. Hongera sana Baba Askofu NiweMugizi.
 
Back
Top Bottom