Askofu na Rose Mhando wamtabiria Sumaye urais 2015

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
Kakatika uzinduzi wa albamu ya kamata pindo la Yesu ikiyofanyika leo ukumbi wa Diamond Jubilee Askofu Dastani Maboya wakanisa la Assembulss of God ambaye amewataka watanzania kuwaheshimu wazee na kuwaenzi kwani hata kiti cha enzi cha Mungu kimezungukwa na wazee 24 Rose mhando baada ya uzinduzi amemtaka sumaye asiogope kwani Tanzania inamhitaji mtu kama yeye maelfu kwa mamia walishangilia Sumaye wakati akisisitiza jambo juu ya katiba mpya kuwa baada ya misuguano hii basi katiba itakuwa mzuri
 
Rose yupi? huyo mchumia tumbo au mtu mwingine? Hana charisma ya kumtabiria mtu mwenye haki!!!. Yeye tunajua ni Commercial gospel singer no more.
 
Hii kazi lazima itafika panapo husika tuu lazima iwe
 
Naona Askofu na Rose Mhando wamechukuwa mikoba ya Sheikh Yahya.

Usicheze na bahasa za kaki.
 
Kakatika uzinduzi wa albamu ya kamata pindo la Yesu ikiyofanyika leo ukumbi wa Diamond Jubilee Askofu Dastani Maboya wakanisa la Assembulss of God ambaye amewataka watanzania kuwaheshimu wazee na kuwaenzi kwani hata kiti cha enzi cha Mungu kimezungukwa na wazee 24 Rose mhando baada ya uzinduzi amemtaka sumaye asiogope kwani Tanzania inamhitaji mtu kama yeye maelfu kwa mamia walishangilia Sumaye wakati akisisitiza jambo juu ya katiba mpya kuwa baada ya misuguano hii basi katiba itakuwa mzuri

kwahiyo askofu na rose mhando wamekuwa sheikh yahaya
 
Kweli hata mimi naona kuna harakati nyingi za kumnadi Sumaye ... Mwendelezo wa Serikali ile ya Mkapa ya kuuza kila kitu cha Watanzania... Namtakia kila la kheri lakini atambue kuwa Watanzania siyo Wajinga! Miaka 10 ya yeye Kuwa PM hajaweza kufikia 5% ya kazi za Sokoine wala 10 % ya kazi za Lowassa...
 
Tunako elekea itafika wakati watu watawatabiria mabinti zao wakazi kuwa Rais.
 
Rose yupi? huyo mchumia tumbo au mtu mwingine? Hana charisma ya kumtabiria mtu mwenye haki!!!. Yeye tunajua ni Commercial gospel singer no more.

Niyule mkatika viuno na mcheza viduku. alikuwa anapalilia sembe mkono uende kinywani
 
Wakuu kuna wakati sisi wenyewe tunajitangazia ujinga. Kama nakumbuka vizuri, baada ya Suyamye kushindwa kwenye kinyang'anyiro cha Urais, na kwenda kupumzika Marekani kwa muda, alisema hatagombea urais tena, Haya yalikuwa ni maneno ya Sumaye mwenyewe.....leo habari za Sumaye kugombea Urais zinatoka wapi?

Kama nakumbuka vizuri baada ya kutoka Marekani alisema kuwa katika kipindi chote cha uongozi wake hakufanmya mambo aliyotakiwa afanye kwa kuwa alikuwa hajui, na aliojua hilo baada ya kusoma US. Akasema yeye mwenyewe ni bora tutafute watanzania wanaojua....this talk of him running is a bit of non sense.
 
.....wala hujakosea Mkuu....ni maneno yake Sumaye hayo......
 
Back
Top Bottom