Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Ukitawala kikaksi, kishamba ndo matokeo yake hivo, watu wanakushangilia na kukupa sifa coz you have power ila ndani ya mioyo wana jambo Lao, ask the mugabe happens
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Duniani hakuna mtu amepigwa risasi idadi Ile akapona. Ni muujiza. Mungu amlaani yeyote yule aliyedhamiria na kupanga kumuua huyu mtu. Mtu huyo na wauaji hao walaamiwe na kizazi chao chote. Watakufa kwa mateso makali. Mimi kama Mzazi mshika dini na hofu ya Mungu ikifika hapa naweka uchama pembeni. Bado kura yangu ni kwa chama changu lakini kwa Lisu naongea kama binadamu yoyote mwenye uchungu wa kuzaa na kulea. Utu na Uhai kwanza kabla ya chama.
Huna hofu ya Mungu wewe
Biblia inasema barikini na Wala msilaani
Na pia inasema msiuhukumu maana mtahukumiwa
Sasa wewe ujasiri was kulaani unautoa wapi halafu unasema eti mshika dini
Na Tena unahofu ya Mungu
 
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.

Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu ( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.

Hakika mtu huyu ni Victor (mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.

Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.

Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
huwa namsikia ila kidogo nimemheshim japo simkubali Sana ,Kama mtu mwenye kibali japo sijaanza kitumia so lissu kua makini ,mungu asema sio mie ndugu, tz Kwanza mengine badae asema bwana mwenye nchi yake
Mungu ibariki tz
 
Ukifikiria kwa jicho la kiroho kama ambavyo Mshana Jr ameshawahi kueleza humu kuwa Lissu sio binadamu tena. Anayejaribu kupamabana naye ajiulize mara mbili mbili.
View attachment 1578779
Acheni kudanganya watu nyie
Lisu Sio binadamu amekuwa Mungu?
Eti anaejaribu kupambana nae
Kumbe nyie ndii mnamharibu akili huyo lisu wenu
Hahahahaa duuuh
Anapambana na upepo huyo
Magu hawwzi kupambana na mtu Kama huyo
 
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.

Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu ( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.

Hakika mtu huyu ni Victor (mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.

Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.

Video hii hapa chini.
View attachment 1578769
Mka mda sio jpm au lissu anahitaji sifiwa, bwana atamsia Kila mmoja kwa mda wake ,asema na sio maneno yangu,so Kila mmoja
 
Acheni kudanganya watu nyie
Lisu Sio binadamu amekuwa Mungu?
Eti anaejaribu kupambana nae
Kumbe nyie ndii mnamharibu akili huyo lisu wenu
Hahahahaa duuuh
Anapambana na upepo huyo
Magu hawwzi kupambana na mtu Kama huyo
Lissu sio binadamu na sio Mungu
 
Huna hofu ya Mungu wewe
Biblia inasema barikini na Wala msilaani
Na pia inasema msiuhukumu maana mtahukumiwa
Sasa wewe ujasiri was kulaani unautoa wapi halafu unasema eti mshika dini
Na Tena unahofu ya Mungu
Aaah wapi laana ipo soma Kumb 28:15 mpaka mwisho wa hiyo chapter ndiyo ujue maana ipo tena mbaya.
 
*JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA UNAJIITA NABII WAKATI UNABII UMEUPATA KWENYE KIFUA CHA KAHABA*

Nimekufuatilia kwa kipindi kirefu ewe unayejiita Nabii MWINGIRA jinsi unavyowalaghai Kondoo wa Mungu kwa kisingizio cha Unabii. Kwa bahati nzuri wewe mwenyewe ulikiri kuwa *Unabii* wako uliupata wakati unazini na mwanamke *KAHABA* huko Mirerani Arusha lakini tangu hapo tabia ya kuzini ndio kama imepata kibali kutokana na ushuhuda wako.

Kinyume na Manabii wengine wewe umekuwa Master wa *Ngono* na *Zinaa* hasa kwa wanawake wanaofuata huduma za Kiroho kwenye Kanisa lako lakini wewe umewapa mpaka za Huduma Kimwili (Zinaa) bila hata ridhaa yao Je, unataka kuwaambukiza *UKIMWI?*

Unavunja ndoa za watu mashuhuri kwa kuwadanganya wake zao kwamba unawafanyia *Deliverance* tena unachagua kufanyia kwenye vyumba vya Hoteli ikiwemo Millenum Hotel, Karibu Hoteli DSM na Kibaha Efatha Village. Mfano mdogo tu Umevunja ndoa ya Dkt. Philis Nyimbi tena hadi kufikia hatua ya kuzaa nae mtoto *DAVID MWINGIRA* 20/02/2008 na kubadilisha jina la mtoto huyo kuwa David William Morris ambalo la mume wa Dkt. Nyimbi ili tu usiumbuke.

Umevunja ndoa ya Advocate Mbuya na mke wake Lidya kwa kujiamini kabisa ulivizia akiwa anasafiri Mzee Mbuya wewe unakwenda kumtafuna mke wake tena kwenye kitanda cha Mbuya unavunja amri ya sita.

Bado haitoshi ukaamua kuwabaka wanawake zaidi ya 10 wanaokuja kwenye Makazi ya Boma la Efatha Kibaha karibu na Chuo Kikuu Huria sehemu ambayo huwa unajifungia kwa madai eti hutaki kusumbuliwa unaongea na Mungu kumbe unazini humo. Cha kusikitisha zaidi hata wengine unawaingilia kinyume na maumbile bila ridhaa yao na bila hata aibu bado unajiita Mtume na Nabii.

Umedhulumu mali zenye thamani ya Tshs. Bilioni 9 za Dkt. William Morris (mume wa Dkt. Philis Nyimbi) na ukamuundia zengwe ili afukuzwe nchini tena ukawahonga Polisi wa Kituo cha Kibaha ili wamkamate kama mhamiaji haramu na Ulipofanikiwa Mali zake ukafanya mtaji wa kununua maeneo zaidi Kibaha na kuanzisha Benki ya Efatha pale Mwenge ambayo pia uliitumia kama nyezo ya kutakatisha fedha.

Hii ni sehemu ya kwanza, Sehemu ya Pili itakuja na list ya wanawake ambao umekuwa ukizini nao tena wengine ni wake za watu mashuhuri na wengine ni wanafunzi.
Utopolo ulikuwa wapi siku zote? Baada ya haya ndo mnaibuka na vistory vyenu vya kutengeneza?
 
He is a failure, you cannot make him victor. Mark my word, he will never ever become even close to becoming the president of URT, after 2020 he will be a famous begger in Singida.

Unaota wewe. Kaa hapo usubiri uapishwaji wake. Tundu Lissu ndio Rais wako.
 
Lowassa alitabiriwa na TB joshua,wacha tusubiri utabiri wa Nabii wa kingoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom