Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

Ndo tunaanza safari ya miaka 5 kwa style hii?
Tumeshaanza vibaya sana,mbele ya macho ya jumuia za kitaifa tumeanza kuchafuka mapema hili ni jeraha litakuwa na madhara kwa kipindi hiki
Subilini mtaona tu bandugu
 
Mimi siwaelewi mnacomenti akili ziko kichwani ama katikati ya makalio. Hivi mtanzania ukitishiwa amani unaenda ubalizini ama unaenda polisi?????, lisu ni mjerumani ama ni mtanzania. Ningekuwa rais ningemfukuza balozi wa ujerumani na kuondoa balozi wangu ujerumani. Hawa wapumbavu wanatuingilia sana kupitiliza.
Marekani walituma midege yao kwenda kuua mtu irani kwa kisingizio cha ugaidi. Mtu kakamatwa tu kwa tuhuma za ugaidi wanapiga makelele hadi masikio yanauma. Hivi yule mwarabu ndo hakuwa na haki ya kuishi. Ama mbeligiji wao ni wa thamani sana kuliko mwarabu.
Nyinyi watembeza bakuri kila kukicha mumfukuze balozi ?.
 
Kaburu wa Africa kusini alikuwa hivi hivi lakini na yeye ilifika mwisho hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu na wenzao leo hii wapo wapi?
Hao CCM shule walipata zero kama walifaulu ni kwa kuchakachua kama kawaida yao. Historia za madikteta watazijua wapi!!! Hawajui historia hujirudia na kanuni ya historia ni moja, hakuna dikteta aliyefikia mwisho mzuri Stalin alikufa ktk dimbwi la mkojo wake kwa kukosa matibabu, aliogopwa hadi na wasaidizi wake kuingia chumbani kwake walipoona kimya kumbe mtu anakata roho. Qadaffi alizamishwa mtarimbo wa chuma njia ya haja kubwa na wananchi wake waliokuwa na hasira naye
 
Mimi siwaelewi mnacomenti akili ziko kichwani ama katikati ya makalio. Hivi mtanzania ukitishiwa amani unaenda ubalizini ama unaenda polisi?????, lisu ni mjerumani ama ni mtanzania. Ningekuwa rais ningemfukuza balozi wa ujerumani na kuondoa balozi wangu ujerumani. Hawa wapumbavu wanatuingilia sana kupitiliza.
Marekani walituma midege yao kwenda kuua mtu irani kwa kisingizio cha ugaidi. Mtu kakamatwa tu kwa tuhuma za ugaidi wanapiga makelele hadi masikio yanauma. Hivi yule mwarabu ndo hakuwa na haki ya kuishi. Ama mbeligiji wao ni wa thamani sana kuliko mwarabu.
Uende polisi hawa wanaosema WATU WASIOJULIKANA!!!!!! Kweli wewe ndiyo unayecomment akili zikiwa makalioni. Hadi leo chombo chenye dhamana ya ulinzi wa maisha ya raia hakijaeleza nani alimpiga risasi Lissu mchana kweupe, nani alimteka Roma Mkatoliki, Mo Dewji, Ben Saanane yuko wapi, nani alipiga bomu ofisi ya imma advocates alikokuwa Fatma Karume nk nk nk nk labda mlevi wa kutafuta vyeo kama wewe ndiyo ataenda, na habari ya Marekani kumuua mwanajeshi wa Iran aliyevuka mpaka na kuingia Iraq inahusiana na nini hapa?????!!! Kweli mlevi wewe
 
Mimi siwaelewi mnacomenti akili ziko kichwani ama katikati ya makalio. Hivi mtanzania ukitishiwa amani unaenda ubalizini ama unaenda polisi?????, lisu ni mjerumani ama ni mtanzania. Ningekuwa rais ningemfukuza balozi wa ujerumani na kuondoa balozi wangu ujerumani. Hawa wapumbavu wanatuingilia sana kupitiliza.
Marekani walituma midege yao kwenda kuua mtu irani kwa kisingizio cha ugaidi. Mtu kakamatwa tu kwa tuhuma za ugaidi wanapiga makelele hadi masikio yanauma. Hivi yule mwarabu ndo hakuwa na haki ya kuishi. Ama mbeligiji wao ni wa thamani sana kuliko mwarabu.
Ndio maana wewe ni kapuku tu unayelalama JF!Lissu ameomba ahakikishiwe ulinzi na serikali lakini ni hao hao ndio hawataki kufanya hivyo!Ulitaka afanyaje?Shwain kabisa!
Au huu utaratibu ni mgeni kwako kuomba asylum katika balozi?Mjinga kabisa,na hii ni aibu kwa serikali,haya mambo hatukuyazoea watanzania awamu zilizopita!Mtu anakuwa mkimbizi ndani ya nchi yake!
 
Lisu hakushindwa vibaya kwenye uchaguzi acha kupotosha hapo, lisu kapata kura nyingi mno lakini NECCCM Tumeccm na Polisiccm wakaunajisi kuubaka na kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
Mkuu naona hukunisoma vizuri, soma tena mchango wangu vzuri hakuna sehemu niliyoandika kuwa Lisu kashindwa vibaya, bali nimeeleza kuwa ccm walifanya walio ya fanya kwa kuogopa mteule wao ccm kushindwa vibaya kwa kuhofia umaarufu na ushawishi wa Lisu kwa wananchi.
 
Wewe Mbona ni mpumbavu zaidi huoni ulichokiandika? Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani kwa kuwa inawategemea wapumbavu kama ninyi
Dah...usikariri ujinga...kwa taarifa yako hii nchi ina miaka mitano (5) tu tangu imeingia rasmi kwenye vita ya kupigania uchumi wake...na matokeo yako wazi tu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Serikali yetu imeshindwa kumhakikishia usalama wake huyu raia? Naona hapa nadi Balozi anamsindikiza Airport hivi tumefikia hapa kwamba nchi yetu haina usalama kiasi hiki.

1631174837760.png
 
78 Reactions
Reply
Back
Top Bottom