Askofu Mwamakula: Polepole ametahadharisha tusipokuwa makini, Serikali inaweza 'kutekwa nyara' na kubaki kama 'mwanasesere'

Mwanasesere😁😁😁

0AIS-7z.jpg
 
Tundu lisu shida aliyo nayo ni kwamab dereva wake yuko hai sasa ni jinsi gani wataenenda sawa kwa upikaji data zao kuhusu shambulio lake kama wakilejea hapa tanzania.

Magufuli keshakufa lakini inakuwa vigumu kwa Tundu aludi vipi bila ya dereva wake?
Na kama tundu anaogopa kuuwawa je dereva amekimbia nini huku au nae anaogopa magufuli asiyekuwapo?

Shambulio la lisu analijua yeye na dereva wake na chama chake na ndio maana kashindwa kumleta dereva hapa tz.
Kama vipi amlete huyo dereva aje ahojie kisha arudi huko ili kila kitu kijulikane.
Hamza ameuawa lakini haikuzuia uchunguzi kufanyika hadi wanadai eti alikuwa ni gaidi, sasa inapofika kwa Tundu Lissu wanasingizia dereva hayupo, sasa kama wangekufa upelelezi ina maana usingefanyika?

1. Kwa nini siku ya tukio walinzi waliondolewa lindoni.

2. Kwa nini Magufuli alikataza watu wasiende kumuona Lissu Nairobi.

3. Kwa nini waliovaa tisheti zenye maandishi "Pray for Tundu Lissu" walikamatwa na polisi.

4. Kwa nini Kalemani aliondoa zile cctv camera baada ya tukio.

5. Kwa nini Magufuli aliamuru Lissu asitibiwe kwa fedha za serikali wakati alikuwa ni mbunge.

6. Kwa nini Magufuli aliposema msaliti hawezi kuachwa aishi haikupita siku tu Lissu anashambuliwa.

7. Kwa nini Magufuli aliamuru Lissu asilipwe stahiki zake na kuvuliwa ubunge

8. Kwa nini hata baada ya Magufuli kuhujumu uchaguzi bado alikomalia kutaka kumuua Lissu hadi akakimbia nchi.

Maswali ni mengi lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Magufuli alikuwa ni mtu muuaji na ajue atakumbana na hukumu ya Mungu shetani mkubwa huyo, hata akina Saanane na Azory inasemekana kawaua au utatwambia wako wapi hao watu.
 
Humphrey Polepole ameanza kujenga taasisi huru ya fikra! Hahitaji kiwanja cha kujengea taasisi hiyo wala hahitaji Wajumbe wa Bodi wa kuendesha kwani kichwa chake ndio Bodi yenyewe. Ameanza kutoa mihadhara kuhusu mustakabali wa nchi. Anatahadharisha kuwa tusipokuwa makini, Serikali inaweza 'kutekwa nyara' na kubaki kama 'mwanasesere'! Kwamba 'kikundi cha wahuni' wanaweza kuiteka nyara ikawa inaendeshwa na hicho kikundi!

Hizo ndizo fikra huru zenyewe! Lakini Polepole anasahau kuwa hata yeye alipokuwa Mwenezi na Msemaji wa Chama kinachoongoza Serikali, kuna watu walikuwa wanasema kama yeye anavyosema sasa! Watu wale waliokuwa na fikra huru wakati akina Polepole wameshika hatamu walipigwa; waliteswa; walitekwa; walibambikiwa Kesi za uchochezi, uhujumu uchumi na utakatishaji Fedha. Sisi Askofu tuliokuwa tukiwapazia sauti na kuwatetea watu hao tuliandamwa na hata kukiona cha moto.

Mwelezeni Mheshimiwa Humphrey Polepole kuwa sisi Askofu tunamkaribisha katika ulimwengu ulio huru ambao hauna dola ya kukutetea badala yake dola ndio iliyo na uhuru wa kukufanya cho chote kile! Kwa ujumla, katika ulimwengu huu hatuna kinga ye yote dhidi ya dola haijalishi tuna hadhi gani katika jamii! Huku ukitoa tu mawazo yaliyo tofauti na ya watawala au hata watu walio karibu na watawala, basi wewe unalo.

Jamii yetu huku ni kama ya wale wezee walioambiwa wakati Polepole yupo katika hatamu kuwa 'watatwangwatwangwa' na yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa ule aliozaliwa Mukwavinyika! Huku katika ulimwengu huu ulio huru, unaweza kulazwa mahabusu hata kwa kutetea watu haijalishi kama wewe ni Askofu au Profesa! Huku, Jeshi la Polisi halifuatu hata kanuni na Sheria za kukamata watuhimiwa! Huku, Askofu anaweza kufuatwa hata alfajiri katika faragha akiwa chumbani. Mwambieni Polepole kuwa asiwe na wasiwasi kwani akianza kufinywa kwa kusema ukweli na kutetea haki za wengine, sisi Askofu tutakuwa tayari kumpazia sauti. Mwambieni aungane na Askofu kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Nilijua kuwa Askofu Kadiri ya mwanzo wa maelezo yake angekuwa wa kwanza kumkaribisha mwanampotevu katika mikono ya Mungu Wake bila kumjudge kwanza kwa hayo madhambi yake. Baba askofu mtakatifu. Usiye na makosa msamaha ndo Zawadi kuu ya kiongozi dini. Luka 15. Wewe Ni askofu wa Nini. CHadema.
 
Unamkana Mwamba manka penseli?!!
Unatoka nyumbani kila siku asubuhi, unaaga unakwenda kazini. Kazi yenyewe unayofanya kila siku ni hivi visentensi visivyokuwa na maana yoyote, kila siku!

Watu kama wewe nao tuwahesabu kati ya waTanzania watakaoleta maendeleo kwenye nchi hii?

Hebu nikuulize swali bila ya kejeli yoyote, hivi nawe kweli unapato la zaidi ya dola 2 za kimarekani kwa siku? Ni nani anayekulipa kiasi hicho, huko huko ndani ya chama cha CCM?
 
Narudia tena only great thinkers ndio watamuelewa pole pole, bwana mmoja amesema Kuwa ni vigumu kumuamini jambazi asemapo ujambazi ni mbaya lakini ukweli utabaki hivyo.
 
mimi pia, juzi nimesikia, kupitia watu maana mimi kwakweli siwezi kamwe kumsikiliza huyo jamaa, anasema wazungu hawajawahi kuleta dawa inayotibu vidonda vya tumbo, wala kisukari, wala pumu n.k. akimaanisha tusiamini dawa zao bali tuchukie haswaaa.

naungana nawe, anaonekana ana hangaiko la roho lisilo la kawaida......haeleweki tu anasimamia nini au anatakaje haswa. cha kuchekesha, katikati ya maongezi yake eti nasikia anajifanya kuchomekea, 'namshukuru sana raisi samia'. lkn wadau wanadai sura yake inakataa kabisa akisema hivyo.

Kuna wakati alizungumza faida za kiuchumi kule bungeni ilizopata tanzania katika janga la korona na kupata likes kadhaa kutoka kwa wasiompenda samia. basi akafikiri ndo imeshakuwa njia yake ya kutokea, akaanza kutokea kwenye makongamano na hatimae hiko kipindi. kwa sasa pindi nasikia halina mvuto wowote, taratiibu linapotea zake. sijui anajipanga na nini sasa kitakachomweka kwenye chati?
Humsikilizi huyo jamaa Ila unaenda kwa wanaomsikiliza ili wakusimulie
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom