Askofu Mwamakula: Nani atamtangazia Ghofira/Msamaha wa Dhambi (absolution) Spika Ndugai?

Halafu leo hii anatuomba msamaha wananchi. Huyu mzee ni mnafki na sio wa kumuamini kabisa.
Ni mchumia tumbo mkuhwa na hapo keshokeshokutwa ikitokea hiyo mikopo imeenda mrama atajisifu ku alisema .
Nimekosa mimi.. Nimekosa sana...
 
Back
Top Bottom