Askofu Mwamakula: Kuondoa utaratibu wa Usajili wa Kudumu kwa Taasisi za Kidini ili ziombe upya kila baada ya miaka mitano ni kuzichimbia kaburi

Alipoanza Gwaji kubwata nikajua msajiki wa makanisa ana pasha soon.....kweli watamfutia leseni na kesi juu....awamu visasi na kutomjua Mungu kweli ......ansupiga mwingi sana
 
Hawa wala sadaka za waumini lazima wadhibitiwe, siku hizi kila mtu anaanzisha kanisa na kujiita Mtume/askofu/mchungaji/nabii n.k., ilimradi tu awe na kaeneo na hela ya kununua mabati kuzungushia basi ni tabu tupu mtaani. Mbona waislam hawana hii kitu ya kujianzishia misikiti hovyo?
 
Check and Balance ya wala Sadaka ni kazi ya Mungu . Si kazi ya Serikali.

Nahisi pia katiba itavunjwa hapa kwenye uhuru wa kuabudu. Taasis nying zitazuiwa kwa politial motives
 
CCM imechoka na Amani ya Tanzania kuna wana CCM wanatumiwa na mabeberu. Ukitingisha dini unapalilia vurugu.
 
Back
Top Bottom