Askofu Mwamakula ana msaada gani kwa CHADEMA? Mbona kama hamna anachowasaidia, kwa ujumla hana political influence

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Huyu Bishop ambaye huwa anajinasibu kuwa ni mwanachadema kindakindaki hana ushawishi wowote kisiasa. Ni mlopokaji na mpiga kelele na kelele zake ni kama kelele za chura.

Nilishangaa sana kumsikia Mambo Sasa amemkamata eti anataka kuitisha maandamano. Huyu jinsi anavyopuuzwa na watu ndio wa kushawishi umma uandamane?

Kama ana ushawishi mbona alizunguka na Lissu wakati wa Kampeni za uchaguzi mkuu na hakuleta ushasishi wa kuvutia watu na kujazia kura za Lissu.

CHADEMA tafuteni mikakati mingine, sio kutumia watu kama Mwamakula ambao hawana ushawishi kabisa. Unadhani Askofu mwenye ushawishi akisema neno nchi inatulia?
 
Askofu Rashid ni liability kwa CCM lakini hakuna anaefungua uzi na kuhoji.
 
Mimi amenishawishi; na nafaham alimeshawishi wengi; wakati wa Kampeni aliutumia muda aliopewa vizuri; alionyesha upeo mkubwa wa kuelewa Watanzania wanataka nini
 
Huyu Bishop ambae huwa anajinasibu kuwa ni mwanachadema kindakindaki hana ushawishi wowote kisiasa. Ni mlopokaji na mpiga kelele na kelele zake ni kama kelele za chura.

Nilishangaa sana kumsikia Mambo Sasa amemkamata eti anataka kuitisha maandamano. Huyu jinsi anavyopuuzwa na watu ndio wa kushawishi umma uandamane?

Kama anaushawishi mbona alizunguka na Lissu wakati wa Kampeni za uchaguzi mkuu na hakuleta ushasishi wa kuvutia watu na kujazia kura za Lissu.

Chadema tafuteni mikakati mingine,sio kutumia watu kama Mlwamakula ambao hawana ushawishi kabisa. Unadhani askofu mwenye ushawishi akisema neno nchi inatulia?
Wanyarwanda na warundi mnashida sana hasa kioindi hiki cha EDA
 
Back
Top Bottom