Askofu Mkuu wa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo amtembelea Freeman Mbowe gereza la Ukonga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,378
Kutoka_Ukonga_leo_Ijumaa:_Askofu_Mkuu_wa_KKKT,_Dr._Fredrick_Shoo,_amefika_gereza_la_Ukonga_na_...jpg


Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu, imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania, Ustaadhi Aboubakar Mbowe, pamoja na kumuona mfungwa huyo wa kisiasa, Askofu Shoo ametumia nafasi hiyo kutoa neno la matumaini kwa wafungwa wengine walio ndani ya gereza hilo.

Mungu ibariki KKKT
 
View attachment 1913448

Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu , imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania , Ustaadhi Aboubakar Mbowe , pamoja na kumuona mfungwa huyo wa kisiasa , Askofu Shoo ametumia nafasi hiyo kutoa neno la matumaini kwa wafungwa wengine walio ndani ya gereza hilo.

Mungu ibariki KKKT

Siyo kitu kibaya kuwatembelea mahabusu na wafungwa kwani nao wanahitaji faraja. Mimi ni Mlutheri pia ila Baba Askofu asiingile mambo ya mahakama
 
View attachment 1913448

Hii ndiyo taarifa ambayo pengine ulikuwa huifahamu , imeelezwa kwamba Baba Askofu Shoo amefika kwenye gereza la Ukonga kumtembelea Gwiji la siasa za Tanzania , Ustaadhi Aboubakar Mbowe , pamoja na kumuona mfungwa huyo wa kisiasa , Askofu Shoo ametumia nafasi hiyo kutoa neno la matumaini kwa wafungwa wengine walio ndani ya gereza hilo.

Mungu ibariki KKKT

Huyo hajawahi kuwa askofu wa KKKT, siku zote ni askofu wa CHADEMA na wachaga ni mkabila na hajawahi kuwa nutral kwenye hivi vyama. Hata ukija na ushahidi gani dhidi ya wanachama wake, siku zote muelekeo wake ndio huo. Ajue kuwa serikali ndio yenye siri nzito na upelelezi, anaaminije kama kweli ameonewa, na ameruhusiwaje kwanza. Wanaohubiri wahubiri na wanasiasa wawe wanasiasa, ukichanganya hayo ukipigwa za uso usitulaumu.
 
Si ndo Mana nashangaa haijaweza tembelea sugu na ponda pia
Cha kujiuliza, huyo askofu wa CHADEMA, hajawahi tembelea waumini wake wowote wale, ila kamtembelea dj tu. ina maana leo ndio kajua kuwa kuna mahabusu,, tena wanaoweza kuwa wanapata shida kuliko hata dj mboe? unafiki wa hali ya juu.

Kitu ambacho wengi huwa hamjui, hawa maaskofu wa mishahara na wadini/mafarisayo, wanafuata dini tu, ila ni watu wa kawaida mno hadi kwa waganga wanaenda kugombania vyeo. hawanaga lolote nakwambia na hata hawamtumikii Mungu, wanatumikia dini na familia zao.
 
Back
Top Bottom