TANZIA Askofu Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala ajinyonga kisa madeni, mgogoro

Ooh
2cd688fb-4ec4-4dfe-8870-803a6c8693fa.jpeg.jpg
 
Wanaume tunatakiwa kufanya kikao cha dharura. Maana haya matukii zamani yaliwakumba zaidi ndugu zetu wa upande wa pili. Kuna sehemu tumepwaya bila shaka.

Ni vizuri kuwa na sehemu ya kuzipunguza/kuziondoa kabisa sumu ndani ya miili yetu, kabla mambo hayajaharibika.
 
"kuwa ni madeni na mgogoro ulioko katika uendeshaji wa shule binafsi"
Haya mambo ya ushirika haya. ..

Ila yasikie kwa mwenzio tu Mungu amlipe kwa yale mema alofanya na kuwafanyia watu..¹
 
Back
Top Bottom