Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar, Yuda Thadeus Ruwai'chi atolewa ICU apelekwa wodi ya kawaida

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Wataalamu 7 wanaomuhudumia Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwai’chi wameeleza kuwa wamemtoa Askofu katika Chumba cha Uangalizi Maalumu (ICU) baada ya kujiridhisha na maendeleo ya afya yake

Wataalamu hao wamefanya maamuzi hayo leo asubuhi baada ya kufanya tathmini ya vipimo pamoja na taarifa mbalimbali za maendeleo ya Askofu tangu alivyofanyiwa upasuaji akiwa MOI

Kati ya Wataalamu hao 7, yumo Daktari Bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Daktari Bingwa wa Usingizi, Mtaalamu wa Lishe, Muuguzi Mbobezi pamoja na Mtaalamu wa Mazoezi tiba

1.jpg
 
View attachment 1208924
maajabu haya siri za mgonjwa kutolewa hadharani
 
Kalazwa wodi gani
 
Kwanini Kanisa na TEC msimpeleke nje ya nchi kwa vipimo zaidi??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom