Askofu Mkuu Ruwa’ichi aanza kufanya mazoezi

diana chumbikino

JF-Expert Member
May 29, 2018
428
368
1568382468495.png

Hali ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Yuda Ruwa’ichi, inaendelea kuimarika baada ya kutolewa katika mashine iliyokuwa inamsadia kupumua na kuendelea kufanya mazoezi.

Askofu Ruwa’ichi alifikishwa Taasisi ya Mifupa ya Hospitali ya Muhimbili (Moi) akitokea Hospitali ya Rufaa Kilimanjaro (KCMC) ambako alifanyiwa upasuaji mkubwa wa ubongo.

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Moi, Patrick Mvungi amesema kuwa jopo la wataalamu wa afya saba wanafuatilia hali ya Askofu Ruwa’ichi kila baada ya saa moja.

“Kwa sasa Askofu bado yuko ICU, lakini hatumii mashine ya kusaidia kupumua, hii inaonyesha dalili nzuri na pia wataalamu wameanza kumfanyisha mazoezi ya viungo akiwa kitandani, hivyo watu wasiwe na wasiwasi kwa sababu afya yake inaendelea kuimarika siku hadi siku.

“Baada ya mazoezi ya kitandani ataanza mazoezi ya kutembea na baada ya afya yake kuimarika zaidi atahamishiwa High Depend Word (HDU). Hii wodi ni maalumu kwa ajili ya wagonjwa ambao afya zao zimeimarika,” alisema Mvungi.

Alisema matokeo bora ya utendaji wa madaktari yanaonekana kwani hadi sasa ufahamu umeshamrudia.

“Akiambiwa kitu na daktari anafuata maelekezo, pia anaweza kuongea, anakula chakula vizuri na anawatambua watu, hii ni dalili njema kwa mtu aliyefanyiwa operesheni ya ubongo,” alieleza Mvungi.
 
Habari nzuri sana
View attachment 1206451

Who cares about these religious leaches?
 
Back
Top Bottom