Askofu Mhogolo amshambulia Dr Slaa na CHADEMA; asema anawahadaa Watanzania na Siasa za Utapeli

'poor askofu',hivi hajui kuwa nchi ina mkurugenzi wa mashtaka ambaye anapaswa kuifanya hiyo kazi?kwa nini asisihoji serikali kutochukua japo hatua za kiuchunguzi?hilo ni tatizo la kusoma ili uajiriwe,huumizi kichwa kujiuliza hata katika yaliyo ya msingi.akae akiiamini katika hao mafisadi wake,ila ajue siku zao zinahesabika.pole sana baba askofu kwa umbumbumbu.
 
kama wewe ni mwana wa MUNGU kweli basi geuza jiwe kua mkate,nae akajibu imeandikwa mtu atoishi kwa mkate tuu ila kwa kila neno litokalo kinywani mwa MUNGU
Je!ninani mwanae akiomba samaki umpa jiwe?
: Hoja hivi kwa nafasi yake kama Askofu ameshawai kujiuliza watanzania wa sasa wanahitaji nini?
:Ninani utae msisitiza juu ya matoleo na akakuelewa ikiwa watu wanao mwongaza hawamwongozi katika haki na kweli?
Nirahisi kupewa heshima ila ni ngumu sana kuirudisha heshima pindi inapo chukuliwa na walio kupa eshima na ASKOFU akumbuke siku zote mtu upewa heshima na sio kujipa Heshia na watoa Heshima sikuzote awapatikani kwa imani ya Dini,uwezo wa elimu, wala ukubwa wa umbo bali kwa kutazama kama unakidhi viwango vyao vya wao kukupa Heshima.
 
Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo wa Dayosis of Central Tanganyika Mkoani Dodoma,amemjia juu Katibu Mkuu wa Chadema na chama chake kuwa wana wachezea Watanzania kwa kujijengea umaarufu rahisi(cheap popularity).

Askof Mhogolo katika mahubiri ya Ijumaa Kuu alisema kitendo cha Dr Slaa kutaja watuhumiwa wa Ufisadi mwaka 2007 huku akiwa na Ushahidi juu ya wanaotuhumiwa na Ufisadi huku akitembea na ushahidi kwenye briefcase ni Kujitafutia umaarufu na kuwapotezea muda Watanzania.

Kama umemkamata mwizi na una ushahidi kwa nini usiende mahakamani na Watuhumiwa washitakiwe!? Kitendo cha Dr Slaa kuongeza tena orodha ya Watuhumiwa huku aliowataja haja peleka ushahidi wake mahakamani kwa orodha ya mwaka 2007 ni kazi ya pwagu na pwaguzi.

Ana wahadaa Watanzania kutokana na uelewa wao mdogo hasa vijana wanao mshabikia! Alimalizia kwa kusema Chadema imekaa na mtizamo wa kutaka watu waiunge mkono kwa fujo na maandamano lakini Viongozi wake wako kwa kujitafutia Umaarufu wa kisiasa.

Akaonya Wanapofanya maandamano yao na uvunjifu wa amani kama ya jijini Arusha wakumbuke kuna amani ya Watanzania ambao si wafuasi wa vyama.

Dr. slaa anaserikali? Huku mahakama ni za mafisadi?? Huyo askofu hana ajualo kuhusu hili! au hajui alitendalo! Sasa hao wenye serikali wamewaona hao mafisadi nao wameishia kuwapa siku 90 wajiondoe kwenye ccm??? je nao ni pwagu na pwaguzi??? Aliye waona mafisadi leo na yule ambaye alisha waona tangu 2007; nani zaidi?? Askofu aache mchezo huo wacheze wanao ujua, yeye hajui kitu!! AMANI anayohubiri siyo kufanywa UTUMWA!! Anataka tuamini ccm "wakikupiga kofi upande wa kulia mwa shavu, unageuza shafu la kushoto ili pia wakupige"???
 
Dr Slaa alitoa list ya mafasadi kwa mara ya kwanza 2007 pale Mwembeyanga, huyu Askofu alikuwa wapi muda wote huo mbona hakusema Dr Slaa alikuwa anatafuta cheap popularity? It has taken him 4yrs to put his thoughts together.

Wimbo ukirudiwa rudiwa sana unakosa radha, ndivyo ilivyo kwa orodha ya Dr.Slaa, naamini ata wewe umeshaanza kunotice hilo kufuatia orodha yake ya Tabora!!
 
kama wewe ni mwana wa MUNGU kweli basi geuza jiwe kua mkate,nae akajibu imeandikwa mtu atoishi kwa mkate tuu ila kwa kila neno litokalo kinywani mwa MUNGU
Je!ninani mwanae akiomba samaki umpa jiwe?
: Hoja hivi kwa nafasi yake kama Askofu ameshawai kujiuliza watanzania wa sasa wanahitaji nini?
:Ninani utae msisitiza juu ya matoleo na akakuelewa ikiwa watu wanao mwongaza hawamwongozi katika haki na kweli?
Nirahisi kupewa heshima ila ni ngumu sana kuirudisha heshima pindi inapo chukuliwa na walio kupa eshima na ASKOFU akumbuke siku zote mtu upewa heshima na sio kujipa Heshia na watoa Heshima sikuzote awapatikani kwa imani ya Dini,uwezo wa elimu, wala ukubwa wa umbo bali kwa kutazama kama unakidhi viwango vyao vya wao kukupa Heshima.
 
mawazo yako siyaafiki kwani askofu anasema mwizi ukimsika na ushahidi unao unatakiwa umpeleke mahakamani, mbona wanasheria walitaka kuishitaki serikali kwa kuliipa dowanz? na niukweli usiopingika kuwa akina slaa na timu yake wanatafuta sifa kwa watanzania. wanasheria wa kujitegemea wapo slaa alikuwa awashitaki mafisadi sasa mpaka leo kauchuna
Wakati mwingine ni vigumu kujadiliana na mtu mwenye ubishi kama mshipa. Ufisadi ni kosa la jinai na si la madai. Kama ulisoma hoja zangu hapo juu ni kuwa ni vigumu kufungua kesi ya jinai kama mtu bnafsi kwani serikali ina haki ya kuingilia na kuitwaa. Huko nyuma jitihada za kufanya hivyo ziligonga mwamba kwani hata Mahakama ya Rufaa ilithibitisha hilo. Hivyo njia iliyopo ni kuwaumbua na kuwashitaki kwa wenyenchi ambao ni wananchi.

Kuhusu kupata sifa kwa Watanzania hapo kuna kosa gani. Kazi ya mwanasiasa ni kuonyesha kuwa yeye anafaa zaidi kuliko mpinzani/mshindani wake ili Wenyenchi wamchague. Kama alivyosema Masinde Muliro "If a politician has no ambition, he better quit politics" (kama mwanasiasa hana uchu/tamaa ya madaraka/umaarufu ni vema akaachana na siasa." Kwa hiyo Dk. Slaa na wanasiasa wote lengo lao ni madaraka na kutokana na kusaka madaraka hayo wanapata umaarufu kosa liko wapi? Kwani umaarufu ni zao la kukosoa washindani wako na kuwaeleza Wenyenchi kuwa wewe unafaa na unawajali.Sasa kama wewe na vitimbakwili wote wanaotetea ufisadi umaarufu wa Dk. Slaa na Chadema unawauma kuna suluhisho dogo tu: Nendeni mkajinyonge!
 
angekuwa maneno haya kayasema Sheikh, ungesikia hana elimu dunia huyo, lakini kwa Askofu anaonekana kama kateleza kidogo tu, ama kweli jf mmezidisha udini.
 
Mhogo is just another Crap Bishop.

Baba umsamehe kwa maana hajui alitendalo!
Hivi huyu kilaza aliwahi kulisikia neno FISADI before 2007? It was just after list of shame. Kwa taarifa yake tu ni kwamba CHADEMA kiko makini kuliko anavyofikiri. CCM hao hao kwa sasa wameanza kuvuana magamba kutokana na nguvu ya CHADEMA ya kuibua uozo wa UFISADI serikalini.

Kwanza huyu Bishop bomu anaonekana hata hajui sheria na taratibu za mashtaka.Siyo kazi ya Dr.Slaa wala CHADEMA kupeleka ushahidi Mahakamani, kuna vyombo vinavyofanya kazi ya KUKAMATA,KUFUNGUA KESI NA KUMSHTAKI MTUHUMIWA .Wako TAKUKURU, POLISI na Mahakama ndiyo kazi yao.

Kama hajui hizo taratibu hafai hata kuwa Askofu yeye ni katika wale wanaoitwa WATUMISHI WA MUNGU WA TUMBO!

Nyambaf!
 
Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo wa Dayosis of Central Tanganyika Mkoani Dodoma,amemjia juu Katibu Mkuu wa Chadema na chama chake kuwa wana wachezea Watanzania kwa kujijengea umaarufu rahisi(cheap popularity).

Askof Mhogolo katika mahubiri ya Ijumaa Kuu alisema kitendo cha Dr Slaa kutaja watuhumiwa wa Ufisadi mwaka 2007 huku akiwa na Ushahidi juu ya wanaotuhumiwa na Ufisadi huku akitembea na ushahidi kwenye briefcase ni Kujitafutia umaarufu na kuwapotezea muda Watanzania.

Kama umemkamata mwizi na una ushahidi kwa nini usiende mahakamani na Watuhumiwa washitakiwe!? Kitendo cha Dr Slaa kuongeza tena orodha ya Watuhumiwa huku aliowataja haja peleka ushahidi wake mahakamani kwa orodha ya mwaka 2007 ni kazi ya pwagu na pwaguzi.

Ana wahadaa Watanzania kutokana na uelewa wao mdogo hasa vijana wanao mshabikia! Alimalizia kwa kusema Chadema imekaa na mtizamo wa kutaka watu waiunge mkono kwa fujo na maandamano lakini Viongozi wake wako kwa kujitafutia Umaarufu wa kisiasa.

Akaonya Wanapofanya maandamano yao na uvunjifu wa amani kama ya jijini Arusha wakumbuke kuna amani ya Watanzania ambao si wafuasi wa vyama.
Alikimbia umande huyu askofu na sasa anawadanganya waumini ili wamchangie sadaka kila jumapili kulisha familia yake na kusomesha watoto wake. Njaa tu hakuna cha zaidi.
 
Ana elimu gani huyu askofu? Mbona anatia kinyaa kama si kichefuchefu! Au ndo wale wenye macho ya kutazama lakini hawaoni? Ndio kusema ni yeye tu ambaye hayaoni matunda ya Dr Slaa? Ni yeye tu ambaye ni mgeni Yerusalem asiyejua kilichotokea!

Uamuzi wa CCM kuwatosa wanachama wake watatu wenye tuhuma za ufisadi, ni matokeo ya mahubiri yake kanisani? Chadema wanaposimama kidete kupinga malipo ya kampuni hewa ya Dowans na kudai katiba mpya ni kuwahadaa wananchi? Kwa hiyo kwa mtazamo wake shida na umaskini wa watanzania ni halali yao! Askofu Maskini kabisa!
 
Tatizo Pro-Chadema wengi humu JF wanamuona Dk Slaa kama Prophet, mnamtuka mtumishi wa mungu Askofu Mhogolo kisa kasema ukweli Dk Slaa ana wahadaa Watanzania na siasa za utapeli
 
Tatizo Pro-Chadema wengi humu JF wanamuona Dk Slaa kama Prophet, mnamtuka mtumishi wa mungu Askofu Mhogolo kisa kasema ukweli Dk Slaa ana wahadaa Watanzania na siasa za utapeli
Ndugu ritz.
Wewe ni mtanzania? Unaona hali ya maisha ya watanzania wenzako na utendaji wa serikali? Hili ni swala linajitegemea,na ni wachache tu kama Mhogolo (pengine na wewe) ambao hawaoni changamoto zinazotukabili kama nchi.

Nimwongelee Bishop Mhogolo. Wewe Ritz wamfahamu kweli? Ninashawishilka kwamba hujui unenalo kumhusu yeye. Ni kweli ni bishop -wa dhehebu langu- kwetu pale kanisa kuu Anglican dodoma. Kweli kasoma. Lakini maisha yake, na mambo yake kwa ujumla hayaendani na hicho cheo!

Mtu husifika na kuheshimika si tu kwa jina la cheo chake, bali kwa matendo yake, mazao ya utumishi wake ktk nafasi yake.

Akipotoka na kutojua wajibu na dhamana aliyopewa, si sahihi kuendelea kumdanganya na kujidanyanya wenyewe kwa kumwita 'mtumishi wa bwana'.
 
Wakati mwingine ni vigumu kujadiliana na mtu mwenye ubishi kama mshipa. Ufisadi ni kosa la jinai na si la madai. Kama ulisoma hoja zangu hapo juu ni kuwa ni vigumu kufungua kesi ya jinai kama mtu bnafsi kwani serikali ina haki ya kuingilia na kuitwaa. Huko nyuma jitihada za kufanya hivyo ziligonga mwamba kwani hata Mahakama ya Rufaa ilithibitisha hilo. Hivyo njia iliyopo ni kuwaumbua na kuwashitaki kwa wenyenchi ambao ni wananchi.

Kuhusu kupata sifa kwa Watanzania hapo kuna kosa gani. Kazi ya mwanasiasa ni kuonyesha kuwa yeye anafaa zaidi kuliko mpinzani/mshindani wake ili wenyenchi wamchague. Kama alivyosema Masinde Muliro "If a politician has no ambition, he better quit politics" (kama mwanasiasa hana tamaa ya madaraka/umaarufu ni vema akaachana na siasa." Kwa hiyo Dk. Slaa na wanasiasa wote lengo lao ni madaraka na katika kusaka madaraka hayo wanapata umaarufu kosa liko wapi? Kwani umaarufu ni zao la kukosoa washindani wako na kuwaeleza Wenyenchi kuwa yeye anafaa. Sasa kama wewe na vitimbakwili wote wanaotetea ufisadi umaarufu wa Dk. Slaa unawauma kuna suluhisho dogo tu: Nenda Kajinyonge!
Mkuu wangu umeyasema yote na kama hawaelewi ni kwa sababu hawaelewi mahakama inaendeshwa vipi. Labda waulize hawa jamaa zetu utaratibu wa kusimamisha kesi za jinai mahakamani zina taratibu gani na kwa nini hizi zinasimamiwa na Prosecutor upande wa mashtaka ya umma hali huyu Prosecutor anatoka wa wizara ya sheria..
 
Well said, Askofu.
Wale waliokwazwa na hii statement waijibu kama ilivyo na si kukimbilia kumkashifu Askofu bila sababu za msingi.
Tulipokuwa tunalaumu ufisadi dani ya CCM ilikuwa inaeleweka, sasa macho yamegeukia CDM na watu wanaanza matusi.
Jibuni allegation kwa maelezo yanayotosheleza, kutukana hakuwaongezei umaarufu wala ushindani, sanasana kunelezea CDM isivyo chama chenye uwezo wa kutawala.
Lawama kwa CCM zimeshughulikiwa kwa utaratibu mzuri sana.
Leo lawama ziko kwa CDM mnaanza kurusha matusi.Kila mara nimesema CDM hawana sera zaidi ya ufisadi, wakati wao wanamafisadi tele katika migongo yao.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, na nyani haoni k....le

Kama na wewe ni mmoja wa watu CCM inayotegemea katika kutoa Mawazo katika hiki kizazi kipya Basi CCM ina Kazi Kubwa sana. Naona Mmewashauri wazee wenu wagawe Bure Gazeti linalomchafua Dr. Slaa hivi hamuoni kama Mnazidi kukimaliza chama chenu. Ila Mimi nafurahia sana kufahamu aina ya Vichwa vilivyomo CCM maana inanipa Uhakika kwamba CCM Imekufa kwa Sababu haina Mawazo Mapya na hiana watu wa Kutoa Mawazo Mapya.

Sasa Mmeingia Mkenge Mnacheza Ngoma ya Dr Slaa ambayo kwa Miaka Mitatu mmekuwa Mnaona Aibu Kuivina, sasa Aibu imewatoka Mmeamua Kuicheza na tena Mnakata Viuno kwa Ustadi Mkubwa na Wajuvi wa Mambo wamekaa kando wakiangalia mwisho wa Mchezo
 
Tatizo Pro-Chadema wengi humu JF wanamuona Dk Slaa kama Prophet, mnamtuka mtumishi wa mungu Askofu Mhogolo kisa kasema ukweli Dk Slaa ana wahadaa Watanzania na siasa za utapeli
Khaa! Ni heri kipofu ambaye haoni kuliko yule anayeona halafu anataka kujifanya kipofu
 
Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo wa Dayosis of Central Tanganyika Mkoani Dodoma,amemjia juu Katibu Mkuu wa Chadema na chama chake kuwa wana wachezea Watanzania kwa kujijengea umaarufu rahisi(cheap popularity).

Askof Mhogolo katika mahubiri ya Ijumaa Kuu alisema kitendo cha Dr Slaa kutaja watuhumiwa wa Ufisadi mwaka 2007 huku akiwa na Ushahidi juu ya wanaotuhumiwa na Ufisadi huku akitembea na ushahidi kwenye briefcase ni Kujitafutia umaarufu na kuwapotezea muda Watanzania.

Kama umemkamata mwizi na una ushahidi kwa nini usiende mahakamani na Watuhumiwa washitakiwe!? Kitendo cha Dr Slaa kuongeza tena orodha ya Watuhumiwa huku aliowataja haja peleka ushahidi wake mahakamani kwa orodha ya mwaka 2007 ni kazi ya pwagu na pwaguzi.

Ana wahadaa Watanzania kutokana na uelewa wao mdogo hasa vijana wanao mshabikia! Alimalizia kwa kusema Chadema imekaa na mtizamo wa kutaka watu waiunge mkono kwa fujo na maandamano lakini Viongozi wake wako kwa kujitafutia Umaarufu wa kisiasa.

Akaonya Wanapofanya maandamano yao na uvunjifu wa amani kama ya jijini Arusha wakumbuke kuna amani ya Watanzania ambao si wafuasi wa vyama.

MSISHANGAZWE NA MASKOFU WANAPOSKOFIKA
Gay bishop attacks Catholic stand

_40988616_bishopgene203_pa.jpg
The Bishop's ordination in America sparked protest

The first openly gay Anglican bishop, Gene Robinson, has called for the Roman Catholic church's attitude to homosexuals to be confronted.
The Bishop of New Hampshire said the Vatican's ban on ordaining gay men was "vile", in a speech in London.
He received a standing ovation after his speech, in which he spoke of how he had faced prejudice in his role.
Some Anglican conservatives had called for the St-Martin-in-the-Fields church venue to be changed to a secular one.
o.gif
start_quote_rb.gif
I am not here to grind any axes, I am here to do the thing that Christians do, that is to witness to the good of God
end_quote_rb.gif

Bishop Gene Robinson

inline_dashed_line.gif

Battle for soul of church

Bishop Robinson said: "We are seeing so many Roman Catholics joining the church.
"Pope Ratzinger may be the best thing that ever happened to the Episcopal Church."
He continued: "I find it so vile that they think they are going to end the child abuse scandal by throwing out homosexuals from seminaries.
"It is an act of violence that needs to be confronted."
His speech at St-Martin-in-the-Fields, in Trafalgar Square, was part of the 10th anniversary of the gay rights group Changing Attitude.
He had been asked not wear his full vestments or take part in the religious service before addressing the audience from a lectern rather than the pulpit.
"I'm here to encourage you to talk about God," he said.
"I am not here to talk about a social agenda. I am not here to grind any axes, I am here to do the thing that Christians do, that is to witness to the good of God."
'Full inclusion'
The London Diocesan Evangelical Fellowship, which includes senior lay and clergy members, had urged the Archbishop of Canterbury to move the Bishop's talk to a secular venue to prevent "damaged relations" between sections of the church.
The Bishop said his home state in the US was "the one place in the world where I am not the gay bishop - I'm just the bishop... it is a wonderful feeling".
He said homosexuals would eventually be fully welcomed in the church but warned that it may take some time.
"This is going to end with our full inclusion," he said. "We won't live to see it, but it's going to happen."
Church rift
On Thursday the New Hampshire bishop met Archbishop of Canterbury, Dr Rowan Williams, and said he wanted to help heal the rift caused by his consecration, but would not give up his post.
His conscecration two years ago attracted widespread criticism from the more conservative African and Asian sections of the church.
Changing Attitude is an organisation which calls for the Anglican Church to "fully accept, welcome and offer equality of opportunity to lesbian, gay and bisexual people".
He is due to address a congregation in Stockport later on Sunday.
 
Kama na wewe ni mmoja wa watu CCM inayotegemea katika kutoa Mawazo katika hiki kizazi kipya Basi CCM ina Kazi Kubwa sana. Naona Mmewashauri wazee wenu wagawe Bure Gazeti linalomchafua Dr. Slaa hivi hamuoni kama Mnazidi kukimaliza chama chenu. Ila Mimi nafurahia sana kufahamu aina ya Vichwa vilivyomo CCM maana inanipa Uhakika kwamba CCM Imekufa kwa Sababu haina Mawazo Mapya na hiana watu wa Kutoa Mawazo Mapya.

Sasa Mmeingia Mkenge Mnacheza Ngoma ya Dr Slaa ambayo kwa Miaka Mitatu mmekuwa Mnaona Aibu Kuivina, sasa Aibu imewatoka Mmeamua Kuicheza na tena Mnakata Viuno kwa Ustadi Mkubwa na Wajuvi wa Mambo wamekaa kando wakiangalia mwisho wa Mchezo
Na kinachonishangaza ni kuwa wao wanakimbilia kumjadili mtu mmoja anayewasumbua kwa ukweli leo hii wanakimbilia kujivua magamba ili eti wananchi waone kuwa wamejisafisha wakati ni ngoma tu inayochezwa tukirudi kwa Askofu mimi nashangaa anazungumzia jambo la 2007 wakati huo ni kitu gani kilishindwa kumsukuma na kulizungumzia yeye amejua vipi kuwa Dr Slaa anawahadaa watanzania anazungumzia kitu ambacho kwangu mimi hayana mantiki labda kama alikuwa anataka popularity Pasaka hii hapo sawa
 
Back
Top Bottom